February Makamba
JF-Expert Member
- Jan 31, 2020
- 2,204
- 3,060
Wewe ni shabiki wa ronaldo acha ubishi...mtu akisoma between the lines hata hufichi huo ushabiki wako.Mimi sio Mshabiki wa mtu ni shabiki wa mpira kwahio nina appreaciate talent..., ila like for like Messi anamshinda Ronaldo kwa Chenga, lakini suala la kufunga, pace, nguvu header ability hamfikii hata kidogo...
Ronaldo naweza kumchezesha kama Target Man kirahisi zaidi kutokana na height yake, Mbappe ni among the fastest striker hakuitwa Cheetah sababu anafanana na Chui kwa Sura...., kwahio mkuu ukiwa mpenda Soka una-appreciate hadi kina Taribo West....
Ila tukija kwenye mambo yaliyofanyika kumlinganisha the King na hawa wengine ni kutotendea haki Soka... The King ni SI Unit yaani wengine wanalinganishwa kutokana na hiki kipimo..., Miaka mingapi imepita lakini bado unasikia fulani kafanya hivi since Pele...
Sasa kama hukumshuhudia Pele utasemaje Messi zaidi!?Mesi ni zaidi huyo pele sikumshuhudia kwahiyo nisiwe muongo
Amna anayevuta shisha apa....Enzi za Kina pele mabeki walikuwa wanatoka Uwanjani wanaenda kulimaKwa maana hiyo hata hawa wavuta shisha waliochukua hii kombe wangeweza kukosa ingetumika system ya kipindi kile na yule dwarf angekosa hiyo sifa mnayompa hapa jukwaani
Usiye jielewa ni wewe uliyeshindwa kunielewaSasa kama hukumshuhudia Pele utasemaje Messi zaidi!?
wabongo huwa hamjielewi
Let be honest. Usichukie kubali kukosolewa. Umesema hv hujawahi kumshuhudia Pele. Yet unasema Messi ni zaidi sasa umewalinganisha vipi hapo!!???Usiye jielewa ni wewe uliyeshindwa kunielewa
Duh kwahio wewe una karai la bibi yako ambalo unaweza kuona hata mechi ambazo hazikuwa televised ?!!!!Enzi zenu za wapi wewe ? Kama tunaona matukio yaliyotokea kwenye ww2 , tushindwe kuona script za Pele , et Enzi zetu , yote aliyoyafanya Pele nasema yote clip zipo hakuna haja ya kudanganya watu...!!
Kwamba world Cup Messi kamzidi Pele ?, Kwamba Umri miaka chini ya 18 Messi alishachukua Kombe la Dunia ? Mtu anachukua kombe 1958; (akiwa kijana mdogo ever kwa kufunga bao) 1962 anacheza mechi ya kwanza anafunga bao ya pili anapigwa kiatu na kushindwa kuendelea na mechi nyingine lakini anachukua ndoo; 1966 anapigwa kiatu hadi kupelekea kujiuzulu (team zote za South America zinafanyiwa figisu na kutolewa ili Europe ichukue Kombe) anarudi tena 1970 anachukua ndoo tukija Messi kacheza Mechi za world cup nyingi kuliko wengi wengine kacheza Finals Mbili ila kachukua ndoo moja na hapo ni baada ya kukosa Penalty katika hayo mashindano na wakati mwingien akiwa captain kushuhudia team inapoteza a leading scoreline.....Zote zipo hakuna iliyojificha , hata Messi tunamuona kwenye TV , wachache wanaomshuhudia uwanjani kila game, hata kama ulikuwepo kipind cha Pele ( possibly not ) waliokuwepo wengi wao walimuona kwenye TV kama Sisi tunavyomuona kwenye TV Messi Leo , Hakuna jipya Pele amefanya Messi hajafanya , makombe kazidiwa na Messi ,
Unajua kitu kinaitwa ratio..., twende Spain anapojisifia kwa kufanya trade yake alafu niambia hata huko kama anaongoza kwa ratio ya magoli ?, Messi anafunga bali Messi is far from clinical....magori kazidiwa , average stats za game ,
Kwanza goal assists huenda Pele anazo nyingi kuliko hizo kipindi kile hazikuwa documented kwenye kila Mechi mpaka sasa labda ni kutafuta tafuta kwenye videos.... kwahio assists za Messi ni accurate za pele huenda nyingi zaidigoal and assist ndo mnajifichia hapo ,
Ngoja uone Messi kule PSG itakavyokuwa Messi inabidi utengeneze Timu kumzunguka unless otherwise anakuwa mzigo..., Messi sio Grafter.... Messi anatumia muda mwingi kwenye mpira anatembea tembea ukimba mpira ndio anafanya mamboKwa vile Messi anaendelea kucheza tutazifunika na hzo zotee....!!
Kwamba Messi ana World Cup ngapi ? Kwa mchezaji ambaye ni mmoja kati ya watu wanaoongoza kucheza World Cup return on investment hairidhishi ni kama unainvest gunia kumi za mbegu unapata nusu guniaKichaka cha mda mrefu kilikuwa ni World cup , imenyanyuliwa mnaanza kuleta ngojera za mara kipind kile kulikuwa na hki mara kile , yaan full ujinga mtupu....
Huyo babu yenu Pele kwishaaaa, sku ZOTE REKODI HUWA ZINAVUNJWA, tunashukru kwa inspiration aliyofanya Ila kuna wababe Zaid yake ...
Sina tabia ya kuchukia hovyo ila dharau ya kuita wengine hawajielewi huenda we ndiyo hujielewiLet be honest. Usichukie kubali kukosolewa. Umesema hv hujawahi kumshuhudia Pele. Yet unasema Messi ni zaidi sasa umewalinganisha vipi hapo!!???
Jibu swali. Uliwalinganisha vipi!?Sina tabia ya kuchukia hovyo ila dharau ya kuita wengine hawajielewi huenda we ndiyo hujielewi
nimeshajibuJibu swali. Uliwalinganisha vipi!?
Imagine katika situation hiyo bado kibopa akaweza ku overcome hayo mazingira na ku score 1k goals bila kudrop kiwangoAmna anayevuta shisha apa....Enzi za Kina pele mabeki walikuwa wanatoka Uwanjani wanaenda kulima
Kidogo maforward walikuwa wana kamshahara ka kusastain life, ila mabeki ndo walikiwa wengi wafanyakazi wa viwandani, wakulima, + walikuwa heavy smokers...kipindi kile kuvuta ilikuwa ndio fasheni sasa
Pele hakuwahi kuvuta sigara...Imagine umuweke hata Mayele tu Vs wavuta sigara mapafu yameoza, si atakuwa anaondoka na Hattrick kila Mechi?Imagine katika situation hiyo bado kibopa akaweza ku overcome hayo mazingira na ku score 1k goals bila kudrop kiwango
Ukimuweka modern player yeyote katika nafasi ya Pele hawezi kutusua
Logic kama Ukiraka ndio ubora kuna Viraka kweli..., na nimekwambia sio ukiraka tu Pele hadi alikuwa Substitute Keeper na aliwasaidia Santos Game moja baada ya Kipa kupewa Kadi akarudi golini na akafanya yake golini baada ya huko mbele kuwa alishatupia Hat Trick (Talk about Man of the Match).....Umeuliza Messi na Pele
Mambo ya zizzou yametoka wapi.
Nitajie hiyo timu iliyokuwa na wavuta sigara ambayo Pele alikuwa akitumia advantage kuwafunga kwasababu yeye havutiPele hakuwahi kuvuta sigara...Imagine umuweke hata Mayele tu Vs wavuta sigara mapafu yameoza, si atakuwa anaondoka na Hattrick kila Mechi?
Timu karibia zote za south AmericaNitajie hiyo timu iliyokuwa na wavuta sigara ambayo Pele alikuwa akitumia advantage kuwafunga kwasababu yeye havuti
Duh sasa huoni kwamba ukulima ni zoezi ?, Nani yupo fit mkulima au mcheza golf / playstation na msuka mikeka na muangalia Horse Racing ?Amna anayevuta shisha apa....Enzi za Kina pele mabeki walikuwa wanatoka Uwanjani wanaenda kulima
Kuvuta sigara kunapunguza stamina na ku-hinder life span ya kucheza ila nimekuuliza kuvuta sigara kunafanya mguu usipige kiatu ?, wakati ule mabeki kazi yao ni kuzuia sio kupanda kusaidia attack kwahio ni kwamba ili kukupunguza makali unapigwa konzi za kutosha na kiatu cha kutosha.., kipindi kile beki unakuwa beki sababu ya nguvu yaani mtu akikupita kweli kafanya kazi...Kidogo maforward walikuwa wana kamshahara ka kusastain life, ila mabeki ndo walikiwa wengi wafanyakazi wa viwandani, wakulima, + walikuwa heavy smokers...kipindi kile kuvuta ilikuwa ndio fasheni sasa
Huu ni uwongo sasaTimu karibia zote za south America
Modern athletes wengi wana smoke na hakuna mtu mwenye shaka juu ya viwango vyaoDuh sasa huoni kwamba ukulima ni zoezi ?, Nani yupo fit mkulima au mcheza golf / playstation na msuka mikeka na muangalia Horse Racing ?
Kuvuta sigara kunapunguza stamina na ku-hinder life span ya kucheza ila nimekuuliza kuvuta sigara kunafanya mguu usipige kiatu ?, wakati ule mabeki kazi yao ni kuzuia sio kupanda kusaidia attack kwahio ni kwamba ili kukupunguza makali unapigwa konzi za kutosha na kiatu cha kutosha.., kipindi kile beki unakuwa beki sababu ya nguvu yaani mtu akikupita kweli kafanya kazi...
Kuhusu kipato hivi unajua mpira ndio ilikuwa njia ya wananchi masikini angalau kutoka kwenye Poverty Cycle ? (ukiacha wachache kina The Doctor (Sio Doctor wa AKA bali Dokta MD wa kweli Socrates) wengi walikuwa wanatoka familia masikini.., na ukianza kucheza kama dogo kazi yako inakuwa kwanza kusafisha viatu vya mastaa wakubwa kwenye timu wanakupa posho za hapa na pale na baadae ukicheza posho zaidi kwahio mpira ulikuwa a means of getting extra / better income kuliko wengine...
Kwamba mtu anafanya kazi kiwandani alafu inakuja game ya kusafiri kucheza pengine unadhani kazini watamwambia nini chukua likizo ? (au unafananisha ndondo na ligi za zamani)?!!! Kipindi kile Vilabu vilikuwepo pia na Sponsor walikuwepo na hivyo viwanda n.k. vilikuwa na timu zao (na hili lilifanya ligi iwe na ushindani kutokana na kwamba gap in wealthy haikuwa kubwa)
Maelezo meengi halafu dah!!Duh sasa huoni kwamba ukulima ni zoezi ?, Nani yupo fit mkulima au mcheza golf / playstation na msuka mikeka na muangalia Horse Racing ?
Kuvuta sigara kunapunguza stamina na ku-hinder life span ya kucheza ila nimekuuliza kuvuta sigara kunafanya mguu usipige kiatu ?, wakati ule mabeki kazi yao ni kuzuia sio kupanda kusaidia attack kwahio ni kwamba ili kukupunguza makali unapigwa konzi za kutosha na kiatu cha kutosha.., kipindi kile beki unakuwa beki sababu ya nguvu yaani mtu akikupita kweli kafanya kazi...
Kuhusu kipato hivi unajua mpira ndio ilikuwa njia ya wananchi masikini angalau kutoka kwenye Poverty Cycle ? (ukiacha wachache kina The Doctor (Sio Doctor wa AKA bali Dokta MD wa kweli Socrates) wengi walikuwa wanatoka familia masikini.., na ukianza kucheza kama dogo kazi yako inakuwa kwanza kusafisha viatu vya mastaa wakubwa kwenye timu wanakupa posho za hapa na pale na baadae ukicheza posho zaidi kwahio mpira ulikuwa a means of getting extra / better income kuliko wengine...
Kwamba mtu anafanya kazi kiwandani alafu inakuja game ya kusafiri kucheza pengine unadhani kazini watamwambia nini chukua likizo ? (au unafananisha ndondo na ligi za zamani)?!!! Kipindi kile Vilabu vilikuwepo pia na Sponsor walikuwepo na hivyo viwanda n.k. vilikuwa na timu zao (na hili lilifanya ligi iwe na ushindani kutokana na kwamba gap in wealthy haikuwa kubwa)