gonga hapa Messi - what was said on Twitter - Football news | MSN Sport UK usome jinsi waliyosema akina garry lineker, demba ba, wayne rooney, sep blatter, etc baada ya lionel messi kupiga goli 5 peke yake kwenye uefa champions league dhidi ya bayer leverkusen.
Ukifanya kitu kimoja tu!!! kwa muda wa 10 decades lazima uwe kama kichaaaaaa.
Messi si mzima yuleee ameanza soka tokea utotoni japo pia hata wengine pia wameanza utotoni kama yeye but Messi IZ THE ILLEST EVER SEEN B4!
Huyu dogo ni matata sana!
Usiombe timu unayoishabikia iwe inacheza na Barca dk zote 90 tumbo JOTO ata MAN U wanalijua ilo ule mziki wa last final ya UEFA
mi nadhani ni system ya uchezaji kwa timu ya Barca ndio inamfanya mesi an'gae hivyo, huwa mnaona jinsi anavyofichwa akiwa timu ya taifa....so ni mzuri kiukweli ila kuna mazingira ndio yanamfanya aonekane ni mzuri kuliko kawaida.

ukifanya kitu kimoja tu!!! Kwa muda wa 10 decades lazima uwe kama kichaaaaaa.
Messi si mzima yuleee ameanza soka tokea utotoni japo pia hata wengine pia wameanza utotoni kama yeye but messi iz the illest ever seen b4!