Messi aeleza hisia zake kuhusu penati

brave one

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
4,879
7,382
Mchezaji bora duniani leo messi yupo Bahamas kwa mapumziko lakini amezua gumzo mtandaoni baada ya kuvaa t shirt inaelezea hisia zake kuhusu penati mchezoni
1467630566910.jpg
 
Kwani walitoka ngapi ngapi kabla ya kufikia kwenye penati!

Kama vipi angefunga mapema kuzuia kwenda kwenye hizo penati.
 
Hahahaha
Akomeeee

Mwenzake Cr7 ana piga vuzuri tuu na hata akikosa halalamiki
 
Back
Top Bottom