VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,007
Nahodha wa Argentina Lionel Messi amedhihirisha kuwa yeye ni wa kiwango kingine pale alipoiongnya timu yake kupata ushindi dhidi ya Uruguay ya akina Luis Suarez,Diego Forlan na Edinson Cavani. Messi aliyefunga mabao mawili kati ya matatu,aliichanachana kabisa safu ya ulhnzi ya Uruguay. Argentina wameshinda kwa mabao 3-0. Bao lingine amefunga Sergio Aguero...
Lakini hajawahi kubeba world cup...
Lakini hajawahi kubeba world cup...
akiwa na Fury La roja wekundu wa Spain atabeba,ila sio mabitoz wa kiargentinoAtalibeba Maracana 2014 mbele ya Dinho (atakayekuwa kwenye stands akimshangilia dogo aliyemnyanganya mkongwe misifa Barca)!
akiwa na Fury La roja wekundu wa Spain atabeba,ila sio mabitoz wa kiargentino
soka america kusini ni sawa na spain zamani chenga twawala lakini twafungwa,mimi spain tu sasa,niliangalia juzi venezuela vs ecuador sema sikuwa na mvuto nao,mimi kama Manolo toka 1982 na spain na mimi nafuata nyayo zake,labda mshawishi Chomba atakufuata South america,mimi furia la roja kaka.tatizo lako hujui ama hufuatilii kinachoendelea kwenye conmebol - hebu meza desa hili:
End Of The Debate
After a string of stellar performances, Leo Messi has silenced the critics who say he can't raise his game for Argentina.
Five things we learned from the South American qualifiers - ESPNFC
Atalibeba Maracana 2014 mbele ya Dinho (atakayekuwa kwenye stands akimshangilia dogo aliyemnyanganya mkongwe misifa Barca)!