tatizo hamuwatukani mimi hata moja hawajanitumia wanajua kabisa dakika mbili mbele nafikiri wamewaweka wateja wao ktk mafungu kama nyanya mf: wapole,wabishi,wakarimu,wa milembe,wa milembe pro max so wanatuma sms kutokana na mafungu labda!

Siku Elon akifunga 🌟 links......huu ujinga utaisha ,kwenye mikopo yao wahawakutumii msg yaani unafatilia mpaka kiatu kinaisha ila kuwaweka pale madarakani wanakukumbusha stupidity CCM.....