Message Sent

bitebo7

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2015
Posts
858
Reaction score
601
Kupenda au kupendwa ni haki ya kila mtu,usimtese mwenzio eti kisa ameonesha mapenzi ya dhati kwako.Penda unapopendwa usije penda usipopendwa.

Naamini ujumbe mmeupata na muufanyie kazi sio unapendwa unaanza kuleta mashauzi,ukipendwa na wewe penda,
Usije kumbuka shuka angali kumesha kucha asubuhi njema jamani.
 
Ipo delivered kabisa...! Wasije kumbuka break wakati gari lipo mtaroni..!
 

watu wanajua kucheza na Feelings za wenzao.....
 
jitahidi upende ili karaha
 
Kama umesikia...Ebu nipende maana mi nakupenda!...kifupi nadhani mada inahusu wale ambao wapo in relationship already lakini kusema umpende kila anae kupenda ni ngumu kumeza.
Haya

Tumekusikia....
 

Pole kwa yaliyokukuta,ila haya yote ni maisha na kuna siku yataisha and we will forget everything forever!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…