Message from Juma Mwapachu

Nyote Walewale Mlotufikisha Hapa Tulipo Leo,Mmeona Mgeukie Upande Wa Pili Mje Mkamue Na Machicha Kabisa.
 
Thank for your message and advice. This is to assure you that Lowassa is the fifth President of the United Republic of Tanzania as from 26th October, 2015.
 
Mwapachu anachuki binafsi na kuona kijana mdogo kama January anafanikiwa zaidi kuliko yeye au hata watoto wake,hebu tuambie vyeo alivyoshika Mwapachu serikalini na kwenye CCM na ulinganishe na vyeo au kazi alizofanya January kwenye serikali na CCM,na mwenye uthubutu kati ya hao wawili,January kaweka historia katika maisha yake ambayo Mwapachu na huyo Lowassa wataota tu ,January amefika nafasi 5 bora za wagaombea uraisi wakati Mwapachu au Lowassa hawajawai ,kwa hiyo January pamoja na ujana wake kamfunika babu Mwapachu hana cha kujifunza kwake,atajifunza nini?January amewahi kuwa mwandishi wa hotuba wa raisi ,wakati Mwapachu alikuwa JV,January kawa Mnec,wakati Mwapachu kawa mwanachama wa kawaida tu,January amekuwa Naibu waziri wakati Mwapachu kawa balozi,sasa kipi January cha kumfuata huyu Mwapachu,au afundishwe jinsi ya kuwa bepari.
 

Unanichosha kusoma pumba yote hii
Kaungane na January na wewe ubebwe kwa mbeleko ya baba yake na Jakaya
 


Jamani wengine bakini huko huko ccm mbona hamkuhama toka mwanzo kama mnadhamira ya kweli ya kuwatetea watz, wengine mmeona kwa kuwa mnataka kustaafu eti mnahama chama, jqmani kuna watu wameipigania chadema ndio maana mnaona matunda yake kwa leo eti leo unahama unakuja na bwebwe huo ni upuuzi wengine bakini huko huko
 
Hivi anadhani sisi wapiga kura hiyo lugha yake tunaielewa, katusomesha?

Lowassa ni Fisadi na hatakaa aache ufisadi.
kama huielewi mbona umejibu?? matusi ya nini?? Lowasakama nifisad si uonyeshe?? Lowasa is our next president. Hatuwezi kumpa mtu ambaye hakuwahi kufikiria kuwa rais.
 
kama huielewi mbona umejibu?? matusi ya nini?? Lowasakama nifisad si uonyeshe?? Lowasa is our next president. Hatuwezi kumpa mtu ambaye hakuwahi kufikiria kuwa rais.

Mkuu umetokea wapi, maana kasi yako ya maswali si mchezo.

Kuna mahali nimetukana?
 

Unfortunately, it has weight and i have decided that i am going to vote for Lowassa
 
Unanichosha kusoma pumba yote hii
Kaungane na January na wewe ubebwe kwa mbeleko ya baba yake na Jakaya
Shida ni kuwa malofa hampendi kusoma issues,bali kama manyumbu mnapenda kufuata tu bila kutafakari
 
Shida ni kuwa malofa hampendi kusoma issues,bali kama manyumbu mnapenda kufuata tu bila kutafakari

Hongera wewe mwerevu unayejua kusoma issues na kutafakari ,Ni mwana Ccm pekee ndie anajua kusoma issues or else kuwasiliana na wagonjwa ICU kwa email
 

I salute you :A S 103::A S 103::A S 103:

It is Well said, and I embrace your words.

I don't care, no matter Mr. Lowassa brings changes or not, still I will vote for him.
My desire is to see CCM is no longer in power. I think most of Tanzanians (including me) are tired of the poverty which was created by CCM as its own political strategy.
CCM has failed, there is no way it can fulfill our desires and meet our expectations.

I urge my fellow Tanzanians to put CCM aside through their ballots.

The time for change is now.
 
I think this man should speak these words in public. Mwapachu is a political technician. He knows in and out of Lowasa and CCM. I believe can prove to us that Lowassa is an ideal president of Tanzania.
 
Ccm itaendelea kutawala watanzania sio wajinga kama mnavyofikiria
 

majibu ya mkosaji sungura alipokosa zile ndizi alisema hazifai
ni mpumbavu kama wewe anayeshabikia kuipoteza kura moja
 


Not expected from Amb. Mwapachu, a person I have witnessed praising the Government of the URT, when working with the Community. There must be something grossly wrong somewhere in his statements as I do not believe in a person who changes his words like a chameleon changing skin colour. I am considering him somehow ambitious looking foward for a position in EL Govt.? So what he need to do is SAY WHAT EL and CHADEMA want to hear and not what he believes. Its my opinion
 
Usimlaumu yeye kwa kutokusoma kwako kilaumu Chama cha Mapinduzi!
Nawashangaaga sana mazombie kama wewe.....unakiri hujasoma then unaung'ang'ania mfumo mbovu ulokuweka hapo katika dimbwi la umaskini, ujinga na maradhi!
AMKA ndugu yangu!
Mfumo mbovu ukiongozwa na mafisadi papa, najua unawajua
 
Mbona maneno kila sik7
 

Hivi huyu mzee mwapachu ni mtanzania kweliii....???

Post zake zotee huwa ni za kiingereza hata facebook page yakee...au huwa anawaandikia wakoloni waoo huko nje....pole mzee wangu lugha yako hatuielewii..wewe endelea nayoo tuu..

Majibu utayapata Jumapilii....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…