Maji yashazidi unga..lol
Kuwapa watu nyumba, hospitali na mashule n.k. is never a substitute kwa kujikusanyia nguvu za kidola na kuzifanya kama ni mamlaka ya kifamilia na wapambe wateule wachache. Ingelikuwa ni kweli kwamba nchi inaongozwa na kamati za watu ni wazi hao watu waliokuwa 'enchanted' na 'crusaders' wangekuwa overpowered na watu wanaowakilishwa na hizo kamati za uongozi. Hapanshaka. All in all, Gaddafi na US all are tyrannic regimes hakuna jipya hapa na sioni sisi watz na AU kwa ujumla ijihusishe na matatizo ya mfalume juha badala ya real ishu za ngozi nyeusi.
Asante Mungu kuwa sasa na Gaddafi anapata Adhabu, jamani nyinyi wenye ngozi nyuesi kama mimi, Gaddafi alituuza miaka mingi kwa majirani zake wazungu, la mwisho baada ya kukataliwa aunde umoja wa kiafrika ili apate kutamba kama kiongozi na ujinga wake kisha awaachie wanawe kina Saif al Islam ambaye amelipa Paundi 1,800,000 zaidi ya Tsh Bilioni 4 kumnunulia PhD kitika London School of Economics, ili aonekane msomi, Alimwachisha kazi Profesa wa chuo hicho na kumlipa Dola 50,000 milioni 75 kwa mwezi aje Libya kumfundisha mwanae Muttassim Gheddafi kiingereza.You don't know much about Libya my brother. He overstayed but his people are enjoying. Every basic need is free. Where will you get that in this world today? They spoiled Benghazi people, without knowing hey will never be the same without Ghadafi. Trust me after Ghadafi leave or Die, life will change completely in Libya. And those people who are advocating for his departure at any cost they will pay the price. Nothing is for free in this world. You help me to throw him out, will pay you oil for twety five years.
I WONDER IF IN "POST RACISM" ERA SOME ONE CAN STILL STAND UP TO TALK OF SEGREGATION..HIYO NYEKUNDU MKUU HAIJAKA NJEMA UBAGUZI SIYO ISSUE TODAY! WAWAACHE WALIBYA WAMWONDOE GADDAFI WENYEWE!:frusty::frusty: NIKIKUTANA NA OBAMA NAMPA HIVO VICHWA!
Kwenye red inaonyesha jinsi gani ulivyoamini kinachoongelewa CNN, BBC, REUTER, and other other brainwashing agencies like that
Its true they brainwash but its also true that in the beginning when they started protesting he shot them. Whether you believe it or not Ghadafi is a psychopath. Just because he gave Libyans good life (not even better life compared to the wealthy of his country) doesn't mean he should rule them forever. That's unacceptable. And by the way, not everyone can be easily brainwashed like you.
Huyo Gaddafi unayemtetea ameua wananchi na wanajeshi wake. Kwa hiyo unafikiri Allah au hata Mtume Muhammed S.A.W atamlinda kwa hilo? Ni nani unaetaka kumpotosha?
You don't know much about Libya my brother. He overstayed but his people are enjoying. Every basic need is free. Where will you get that in this world today? They spoiled Benghazi people, without knowing hey will never be the same without Ghadafi. Trust me after Ghadafi leave or Die, life will change completely in Libya. And those people who are advocating for his departure at any cost they will pay the price. Nothing is for free in this world. You help me to throw him out, will pay you oil for twety five years.
How come protesters protest with all those guns and AK 47?. Are they protesters or military assauters, what do you think Gaddaffi regime has to do with them?.. using tear gas?. By the way you seems to be brain washed by Western democracy which will never be an alternative for development in developing states. The recent development in Southern Asia states never came through Western kind of Demos and regime alterations. You need to differentiate btn good and bad dictators, while Gaddifi is among the good one. You are obsessed with Western Democracy which encourages hedonism into poor nations and have divided the world symmetrically between the rich and the poor halves. The rich defend their interest by any price while the poor are starving with hunger and conflicts. What you think as power alterations in developed world democracy is nothing rather than the permanent interest of pentagon and all alike which must be fulfilled by any regime in power no matter, what.. thats why extreme ideologies such as Marxism never win and are prevented by any price. So long as Libyans are in other half of the sphere of the globe which has to be featured by, conflicts, hunger, poverty and other misery as the policy proposal by pentagon after cold war they will never get even little like what they have on Gaddaffi regime.
Wewe pia umelewa ukoloni mamboleo. Yaani kasumba hizo za kikoloni zinakufanya uchangie mada kwa kutumia lugha ya kizungu, siyo. Kwa nini? Gaddafi hana lolote, wacha abondwe mpaka ajute kuzaliwa!...By the way you seems to be brain washed...
Asante Mungu kuwa sasa na Gaddafi anapata Adhabu, jamani nyinyi wenye ngozi nyuesi kama mimi, Gaddafi alituuza miaka mingi kwa majirani zake wazungu, la mwisho baada ya kukataliwa aunde umoja wa kiafrika ili apate kutamba kama kiongozi na ujinga wake kisha awaachie wanawe kina Saif al Islam ambaye amelipa Paundi 1,800,000 zaidi ya Tsh Bilioni 4 kumnunulia PhD kitika London School of Economics, ili aonekane msomi, Alimwachisha kazi Profesa wa chuo hicho na kumlipa Dola 50,000 milioni 75 kwa mwezi aje Libya kumfundisha mwanae Muttassim Gheddafi kiingereza.
Aliposhindwa kuinunua Africa na alikuwa ameshawahakikishia wazungu kuwa bara lote ni lake na yeye ni Mfalme wa Wafalme wa Bara la Africa, huku akikusanya waganga wa kienyeje na machifu wa kikabila akawapeleka kwao Libya, na kuita media ya Dunia waone alivyotawazwa na kutukuzwa.
Sote tuna mafuta lakini kwa kuwa hatujaenda kumlamba miguu gaddafi basi wazungu hawaji kuchimba kwa sababu kwa wazungu hilo ni eneo la Gaddafi, mfano Uganda ni nyikani, na Sudan, lakini iliwashauri rafiki zake Viongozi wa Ulaya waende Uganda na sio kwetu, yeye ndio mlango. kwa kiwango kikubwa umaskini wetu umechangiwa na CHUJIO LA GADDAFI ili apate kutukuzwa na utuletee njugu na misikiti ka alivyoiahidi BAKWATA jengo la dini la ghorofa 20, la nini? kum..... shenz...... NATO MUNGU AWABARIKI!!!!
Mkuu nitakuelewa vizuri kama utaandika kwa lugha yetu ya kiswahili. Frantz Fanon alizaliwa Martinique na siyo Guyana. Aliyezaliwa Guyana alikuwa Walter Rodney aliyeandika 'How Europe Underdeveloped Africa (1972). Hapa nadhani unachanganya karata!
Cyo mnamuona ghadafi muuaji! mbna misri waliandamana lakini hakuna waandamanaji waliorhka bunduki, libya wale c waaandamanaji ni waaasi tena pandikizi la wazungu...viva ghadafi.