Ama kweli wahenga wetu walipata kusema "CLEVER PEOPLE STARTS THEIR SUCCESS WHERE AN IDIOT ENDS THEIR STUPID". Pole sana ng'ombe jike sijui umeliwa tigo au vodakomu usiosikitike sana ndo maisha hayo hata sie binadamu tuko hivyo. Nakusifu sana dume la ng'ombe kwa kutumia fursa uliyoitafuta kwa udi na uvumba tena usiku na mchana na mateke juu kwa kumsamehe tu nakuomba usimkojole ndani ya jiko la huyo jiko anaweza akazaa ndama mwenye macho matatu au akawa na alama ya maandishi ya bibilia ubavuni kama yule kuku