Mesen Selekta! Acha Kukopi Midundo (Beats)

mzama chumvini

JF-Expert Member
Mar 14, 2016
730
641
Sabakher Wadau;
Nimevumilia Nimemchoka Huyu Producer! Yaan Anakop Beat Kama Lilivyo! Anachofanya Anaongeza Pitch Tu! Nyimbo Yake Mpya Inaitwa HAYA! Beat La Wizkid _ Show You The Money Kakop Kama Lilivyo!!
Ushaur; Mesen Be Creative Man Unaharibu Jina Lako.
 
Back
Top Bottom