Meseji za comrade Lowasa zanaswa

Ni kweli hakuna mazingira ya kuwezesha kesi ya rushwa kufunguliwa. Lakini tunapata picha ya "comrade" na genge lake wako kazini. Of koz kwa wahalifu waliokubuhu kama Lowassa ni ngumu sana kunaswa na mitego "pori" ya Takukuru......it's absolutely a mis-match.

Takukuru wana njaa Comrade ana hela! So se can buy and/or disband them equally easily.
 
Hata Aggrey Mwanri(NaibuWaziri) upo kwenye mtandao wa LOWASA??? basi nchi imeoza....yaani huku SIMBA,mbele CHUI ,nyuma CHATU na mtoni wamejaa MAMBA. hii ndiyo TANZANIA ama naota?
 
Raia Mwema wamekaribisha waandishi flani ambao nao watakuwa upande wako tu endapo utawamegea fungu am saying this kwa sababu tangu Raia Mwema wamchukue mtu anayeitwa Paul Sarawat huku Arusha gazeti limekuwa frampy' Sarawat anafahamika vyema toka akiwa Nipashe wanaharibu sifa za gazeti story ndeeeeeeefu ila kila unapojaribu kuunganisha hamna jibu anyway tuwaachie TAKUKURU wafanye kazi yao mwisho tutajua.
 
kwa haraka haraka tu mtu makini anatambua kabisa hata uunganishe vipi hizi meseji hamna kesi yeyote ya mambo ya rushwa hapa

Sasa wewe Avanti umeshindwa nini kucomment bila kukoti lipost lirefu hivyo?halafu unakoti post ndeeeefu unacomment mistari 2!
 
......... Waziri Mkuu aliyejiuzulu kwa kashfa ya kampuni ya kufua
umeme ya Richmond, Edward Lowassa.........


nimependa walivyomwita, hilo ndo jina lake sawasawa, sio wale wengine wanapotosha umma kumwita Waziri Mkuu Mstaafu :nono:
 
kwa haraka haraka tu mtu makini anatambua kabisa hata uunganishe vipi hizi meseji hamna kesi yeyote ya mambo ya rushwa hapa

Huna akili..Umetumwa na Magamba nn, mbona ushaidi uko wazi
 
Ukisoma hizi habari ni wazi kuna juhudi kubwa sana inatumika kutaka kumdiscredit Siyoi.

Lakini kwa kuja na habari ambazo hazina kichwa wala miguu Kama hii watu hata ambao tulikuwa hatumjui Siyoi tunaanza kujiuliza kuna nini? Kizuri ni Kama kijana katulia na aendelee tu na kampeni maana hizi siasa za maji taka zikiendeshwa na magazeti uchwara yanayotumiwa na wanasiasa zitashindwa.

Waliporudia uchaguzi akashinda zaidi. Hiyo ni dalili watu wengi hawapendezwi na kuandamwa kwa huyu kijana kwasababu tu kaoa kwa Lowassa.
 
Hapa hamna cha TAKUKURU kufanya kazi wala nini, wanajifanya wako kazini kumbe ni zuga tu ili wananchi waone kwamba hiyo takukuru ipo kazini. Chadema take care hawa takukuru hawatofanya lolote ili nyinyi kazeni buti. mkikuta mtu anagawa rushwa toeni leo isiyo rasmi ya uraia kwamba chukua hela CCM kura kama kawaida Chadema. Tena kama kuna madaktari wapo hapo meru ni wakati wa kuchukua malipo yao toka kwa CCM maana hzo rushwa ndio zinasababisha wasilipwe vizuri.
 
Kama kuna anafikiria kuwa TAKUKURU au MAHAKAMA zinaweza kutenda haki kwa hapa Tanzania, basi aende kwenye CT Scan ajicheki upya ( oh sorry MaDr wamegoma) hawezi kupata huduma hii.
 

Mbwambo na Salva waliua Rai kwa kuegemea upande wa Sitta sasa Mbwambi analiua Raia Mwema kwa kuegemea CCM upande wa Sitta! Sijui kwa nn hawajifunzi Mwananchi gazeti lililo huru!
 
Mbona husemi vigazeti uchwara kama Mwanahalisi.........Raia mwema wako objective na makala zilizoenda shule
 
ah, hamna kitu hapo! Labda takukuru nao wanaomba rushwa
 
Hawa ni wananchi tu wanaweza kuwaadhibu basi. kura ndo fimbo hapo hamna kesi
 
Mbona husemi vigazeti uchwara kama Mwanahalisi.........Raia mwema wako objective na makala zilizoenda shule

Uchwara Coz walifumua mambo yako ya Rushwa BAVICHA sio?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…