Mery christmas

neha mimi

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2014
Posts
344
Reaction score
152
Napenda kuchukua nafasi hii kumshukuru Mungu kwa kuiona siku hii tena pia kuwatakia marafiki zangu wooote wa humu jf happy Christmas msherehekee na familia zenu
thanx
 
Tungealikana ingeleta maana zaidi.
Naomba nijialike japo PM maana najua home wengine Walafi tutamaliza mapochopocho yenu au sio Neha?.
 
Tungealikana ingeleta maana zaidi.
Naomba nijialike japo PM maana najua home wengine Walafi tutamaliza mapochopocho yenu au sio Neha?.

karibu hata usiogope vikiisha tutapika vingine
 
Japo mi siyo rafiki yako acha nami nifarijike kwa baraka zako za X-mas
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…