Merlin vs Game of Throne VS Last Ship vs Seal Team

Kaka Ila hiyo mcgayver sijaielewaa kabisaa nimeiqchia mwanzo,,,West wing na DR Who sijaziona kaka ngoja nizitafute
Unaichukua GAME OF THRONES unailinganisha na series za vichochoroni halafu unajiita LEGEND!..
Ushazisikia DR. WHO, MCGYVER au WEST WING!?..

kamati ya maamuzi magumu
 
Honestly GOT, ilinibamba sana.

Humo kuna vita, akili nyingi, michezo ya siasa, love games. Ile ni life moja hatari sana.

Jinsi njaa ya madaraka nguvu na utawala, imekaa poaa mno. Half man, kale ka midget kalikuwa kako vizuri mno, little finger Mzee wa figisu.

Ila kuna mzee wa misimamo, baba yao Arya alizngua alivyokubali ku confess.

Series ili nibamba sana. Sema wameharibu mwishoni, Mother dragon alivyo kufa, nalitegemea kuwe na bonge la bond la JOHN SNOW naye, wangekuwa formidable.

Merlin, nimeicheki, ila imekaaa kitoto sana. Kama zile hadithi za watoto. Kwanza wahusika wachache sana, haina visa vya akili niliona imekaaa kama zile hadithi za zamani ya kale. Hili zaga labda nilifananishe na ile ya wababe LEGEND OF SEEKERS.
##bro umeongea purely kabisaa
Nakupongezaa kwa maelezo ulioyatoa

kamati ya maamuzi magumu
 
Mshindi La casa de papel
Series ya kipuuzi kabisa siwezi rudia tena kuitazama. Yani ina location chache, wahusika wachache na haiko real. Shida ya kutazama movie unayojua information za ilichoigiza ndo inanikumba. Unakuta nikitazama movie ya kuhusu KGB vs CIA alafu historia ya hicho kitu nimeisoma wakikosea movie naichukia. Nikitazama kuhusu WW2 wakikosea au wakatoa uongo wa nguvu au kutaka kuleta ukisasa ambao haukuwepo that time naichukia. Money Heist pesa inahifadhiwa kwenye nyumba ambayo ni sawasawa na museum wakati inatakiwa iwe kwenye bullion. Kuna makosa kibao.
 
Kumbe sio nzuri saana,,Siendi kuitafuta

Kwani lacasa ile movie ni true story?
 
Hiyo sijawahi Iona Kaka ikoje ni ya kifalme au military drama?

kamati ya maamuzi magumu
Hahah kaitafute....ni sci-fi.
Na ina multiple timelines ila in short kuna jamaa walitengeneza kijiji fake cha watu kama utalii...yani watu fake,wanyama fake kila kitu ni fake yan wanyama,watu ni robots ila hawajijui kuwa wao ni robots na wana akili kama watu,wanapendana wanapigana kama maisha ya kawaida...na mastar ni hao robots.
 
Only lengendary understand this seasons
Ipi ilikukoshaa na hasa tukio gani huwezi lisahau.

Changia tuone picha itabaki kuwa ni dhahabu.

Only Lengendary wanazielewa hizo picha
Naanza GOT John Snow alipomuua Queen of Tygalians the qouncer of Marine and Queen of Dorthlaqies.

Uje Last nakubaliii sana nyenendo za son of Taxess, pia namkubali aliekuwa anaitwa Sarah Tinqued mke wa starring wa prison break kwenye hiyo Last Ship.

Only Lengendary wanazielewa na wanaweza elezea wapi wamevutiwa nazo.

kamati ya maamuzi magumu
Mkuu huu uandishi wako dah. Hayo majina sasa ulivyoyaandika 😂😂😂. Ungetafuta hata msaada google asee.

Anyway, GOT ni show ya tofauti usifananishe na Merlin, hizi ni ligi mbili tofauti kabisa.

Breaking Bad.
 
Kwani lacasa ile movie ni true story?
Sio true story lakini napenda kuwe na uhalisia kwenye movie. Hata Prison Break mazingira waliyoigiza kama gereza la Chernyi Del'fin sio lenyewe (maana huwezi ruhusiwa kulitumia) lakini angalau jengo na mazingira yanaelekeana. Sasa hii ni kama museum ilifananishwa na fortified vault building.
 
Tukiachana na hizo za juzi, Kuna hii ya 2013, Da vinci demons ni nzuri sana. Nipo na See naitafutia kasi ya kuichek.
 
Back
Top Bottom