Mercedes-Maybach S600

Ethical Ninja CEH

JF-Expert Member
May 16, 2011
3,695
5,038
Mercedes-Maybach S600

6799.jpg
 
Specifications
VEHICLE TYPE:front-engine, rear-wheel-drive, 4-passenger, 4-door sedan

PRICE AS TESTED:$199,500 (base price: $190,275)

ENGINE TYPE:twin-turbocharged and intercooled SOHC 36-valve V-12, aluminum block and heads, port fuel injection
 
Thats a mercedes benz s-class W222......NOT MAYBACH.

Hakuna Maybach tena, bali walichokifanya Mercedes ni kuigeuza S Class kuwa Maybach yaani Topend luxurious S Class imekuwa Maybach hivyo mleta mada yuko sahihi kabisa!
 
Hakuna Maybach tena, bali walichokifanya Mercedes ni kuigeuza S Class kuwa Maybach yaani luxurious S Class imekuwa Maybach hivyo mleta mada yuko sahihi kabisa!
kweli yuko sahihi.....nimeona.
 
Hiyo mashine siyo mchezo lkn hata kama una huwo mkwanja usiinunue Bongo kwa maana daladala lazima wakubamize kwa nyuma ukiwa mzee unakunywa mvinyo wako!
Hivi utoe hizo dola laki moja naa halafu ufanye mapicha duuuuh!Labda hela za ujipu lakini vinginevyo ni occasion tu tena officials.
 
Hiyo mashine siyo mchezo lkn hata kama una huwo mkwanja usiinunue Bongo kwa maana daladala lazima wakubamize kwa nyuma ukiwa mzee unakunywa mvinyo wako!

Na service au maintenance yake itakua sio ya kitoto kama ikitokea walibamize...
 
Hivi utoe hizo dola laki moja naa halafu ufanye mapicha duuuuh!Labda hela za ujipu lakini vinginevyo ni occasion tu tena officials.

ah ah ! umenifurahisha, hapo kwenye hela za ujipu... gari kama hii haipendezi iwe kwenye matumizi ya 24/7
 
Hivi utoe hizo dola laki moja naa halafu ufanye mapicha duuuuh!Labda hela za ujipu lakini vinginevyo ni occasion tu tena officials.
Hio mashine ukiwa ndani hata foleni ya masaa mawili huwezi kuichukia.....
 
Back
Top Bottom