mercedes Benz ya Bei poa inahitajika

Calist

Senior Member
Dec 17, 2010
130
7
Tafadhari wana JF nahitaji kununua mercedes Benz saloon engine 102 au 202 budget yangu ni shs 5m. mwenye nayo aweza kuni pm
 
kwa bei hiyo hata Nissan March ya 2001 used hapa bongo haumvui mtu.
labda liwe ngarangara,sembuse Mercedes Benz! nenda kajipange mkuu.
 
kwa bei hiyo hata Nissan March ya 2001 used hapa bongo haumvui mtu.
labda liwe ngarangara,sembuse Mercedes Benz! nenda kajipange mkuu.

You are the mgeni katika biashara hii kwa taarifa yako Nissan March ina bei kubwa kuliko hizo benz nimetaja bei bei kwa maksudi kabisa na ndio maana nimetaja aina ya engine, bei zake ndio hizo unapata kitu kilichosimama kabisa mimi si mgeni katika biashara hii. But thanks kwa maoni yako.
 
Unauliza kabila ? Mi ni Mtanzania

Mi sio mkabila mkuu.. It's just funny nina rafiki yangu mchaga anapenda sana mabenzi yuko radhi anunue hata ilioko juu ya mawe aiweke mbele ya nyumba yake nikaConnect na yako basi burudani tupu.. Get a Starlet it will do you good with that budget.. Benzi spea yake bei kichomi..
 
mi ninayo nauza 2 milion ila tukishauziana staki mawasiliano yyt nawewe.
hahahaaa yani tukishauziana tunakuwa maadui pale pale, kwa kweli siko tayari tutengeneza adui hata mmoja. Najitahidi kutengeza angalau rafiki mmoja kila siku.
 
Back
Top Bottom