Mkuu Rutajumbukirwa, naomba uniambie magari ambayo hayajapitwa na wakati ni yepi?Benz zimepitwa na wakati wewe, nani atanunua? ni sawa na kutakuwa kuuza briefcase! Nani siku hizi umemwona anabeba briefcase? Kaa na benz lako
Benz zimepitwa na wakati wewe, nani atanunua? ni sawa na kutakuwa kuuza briefcase! Nani siku hizi umemwona anabeba briefcase? Kaa na benz lako
Benz zimepitwa na wakati wewe, nani atanunua? ni sawa na kutakuwa kuuza briefcase! Nani siku hizi umemwona anabeba briefcase? Kaa na benz lako
mkuu rutajumbukirwa, naomba uniambie magari ambayo hayajapitwa na wakati ni yepi?
Wahaya utawajua tu kwa maneno yao................ NSHOMILEBenz zimepitwa na wakati wewe, nani atanunua? ni sawa na kutakuwa kuuza briefcase! Nani siku hizi umemwona anabeba briefcase? Kaa na benz lako
Wanaonunua magari mapya TZ ni wachache sana ukiondoa makampuni na serikali............ hivyo hilo lisikushangaze......... ni kawaida sana kupokezana magari ka mbio za vijiti vileeeeeeeee........Gari nzee sana miaka 18? Kweli Tanzania kuna vijimambozi.
Wewe acha ubwege,nani kakudanganya kuwa Benz zinapitwa na wakati,kwataarifa yako hizo ni kama jeans,wakati ndio huzifuata hizo,acha kuharibu biashara za wenzako mnafki mkubwa wee,hivi unazijua benzi au huzijui?Hazijapitwa,hazipitwi na wala wakati hauna uwezo wa kuzipita benzi,labda benzi ziamue kuupita wakati!!Benz zimepitwa na wakati wewe, nani atanunua? ni sawa na kutakuwa kuuza briefcase! Nani siku hizi umemwona anabeba briefcase? Kaa na benz lako
Sawa sawa asitake jitia ujuzi hapa,anaweza akakuambia Fuso anazopanda akienda kwao shamba huko!!Mkuu Rutajumbukirwa, naomba uniambie magari ambayo hayajapitwa na wakati ni yepi?