Mercedes Benz 230E 1992 - TZS 10 Million

Superman

JF-Expert Member
Mar 31, 2007
5,695
1,696
Chassis: WDB124023 Price TZS: 10 M

Type: SaloonYear: 1992 Imported: 2005User: Single Size/Fuel: 2.3P Doors: 4 Color: silver Transmission: AT Extras: AC, PS, PW, PM, CL, AW, CC, RHD, ABS, 5 seats

Contact: 0787 833 985 (No Middle Men)
Price: TZS 10 Million Duty paid

attachment.php

attachment.php

attachment.php

attachment.php

attachment.php
 
Attachments

  • DSC05159.jpg
    DSC05159.jpg
    28.5 KB · Views: 832
  • DSC05160.jpg
    DSC05160.jpg
    28.6 KB · Views: 760
  • DSC05161.jpg
    DSC05161.jpg
    33.7 KB · Views: 845
  • DSC05164.jpg
    DSC05164.jpg
    26.4 KB · Views: 422
  • DSC05178.jpg
    DSC05178.jpg
    31.2 KB · Views: 785
Benz zimepitwa na wakati wewe, nani atanunua? ni sawa na kutakuwa kuuza briefcase! Nani siku hizi umemwona anabeba briefcase? Kaa na benz lako
 
Benz zimepitwa na wakati wewe, nani atanunua? ni sawa na kutakuwa kuuza briefcase! Nani siku hizi umemwona anabeba briefcase? Kaa na benz lako
Mkuu Rutajumbukirwa, naomba uniambie magari ambayo hayajapitwa na wakati ni yepi?
 
Benz zimepitwa na wakati wewe, nani atanunua? ni sawa na kutakuwa kuuza briefcase! Nani siku hizi umemwona anabeba briefcase? Kaa na benz lako

mh! , huyu naye sjui katoka wapi!!!........mwe sjui anadhani humu ni chart room ya......!
 
Kama huna hela kaa pembeni mapredeshee tukanunue kwani kutangaza hapa sio kumkejeli bali kumsapot ok. Mwanangu Komaa hata mimi nilikomaa na kuuza cheser ikauzika sasa wewe komaa hilo ni debe tupu......................
 
Nilighairi mawazo ya kutoiuza; lakini sasa nimeshapata nyingine.

Offer zinakaribishwa.
 
Gari nzee sana miaka 18? Kweli Tanzania kuna vijimambozi.
Wanaonunua magari mapya TZ ni wachache sana ukiondoa makampuni na serikali............ hivyo hilo lisikushangaze......... ni kawaida sana kupokezana magari ka mbio za vijiti vileeeeeeeee........
 
Benz zimepitwa na wakati wewe, nani atanunua? ni sawa na kutakuwa kuuza briefcase! Nani siku hizi umemwona anabeba briefcase? Kaa na benz lako
Wewe acha ubwege,nani kakudanganya kuwa Benz zinapitwa na wakati,kwataarifa yako hizo ni kama jeans,wakati ndio huzifuata hizo,acha kuharibu biashara za wenzako mnafki mkubwa wee,hivi unazijua benzi au huzijui?Hazijapitwa,hazipitwi na wala wakati hauna uwezo wa kuzipita benzi,labda benzi ziamue kuupita wakati!!
 
Back
Top Bottom