Tanzania Tech
JF-Expert Member
- Dec 8, 2016
- 355
- 276
Ukipata nafasi itakuwa hapa kaka, ndio maana ni video ili mtu anapo pata nafasi aweze kuangalia na nirahisi kwani inaonyesha kwa vitendo. I hope utangalia soon coz its worth it trust me..Wanakuja wenye Bando za kutosha
Mkuu ungetoa maelezo kwa nini kuna menu ya siri na kwa nini tuifuate huko you tube, kuliko kujimalizia bundle hovyo..Ukipata nafasi itakuwa hapa kaka, ndio maana ni video ili mtu anapo pata nafasi aweze kuangalia na nirahisi kwani inaonyesha kwa vitendo. I hope utangalia soon coz its worth it trust me..
Menu hiyo imewekwa kwa developers only, Menu hiyo inasaidia kuongeza uwezo wa Chrome ikiwa pamoja na kubadilisha muonekano kabisa wa Chrome. Thats Short Version ----- Long Version ni kwamba please angalia video hata sekunde 20 za kwanza na kama utaona ni kitu ambacho huitaji unaweza kuachana nacho tu.Mkuu ungetoa maelezo kwa nini kuna menu ya siri na kwa nini tuifuate huko you tube, kuliko kujimalizia bundle hovyo..
Sent using Jamii Forums mobile app
Soma hapa kaka > Menu ya Siri inayopatikana Kwenye Google Chrome (Android) - JamiiForumsNimalize Bando langu la data Kisa kuifuata Menu ambayo hata sijui itanisaidia nn
Ungeweka maelezo hapa hapa
Wewe utakuwa unatafuta views mkuuMenu hiyo imewekwa kwa developers only, Menu hiyo inasaidia kuongeza uwezo wa Chrome ikiwa pamoja na kubadilisha muonekano kabisa wa Chrome. Thats Short Version ----- Long Version ni kwamba please angalia video hata sekunde 20 za kwanza na kama utaona ni kitu ambacho huitaji unaweza kuachana nacho tu.
Brother it's all about kujifunza kaka, Views hazina manufaa kwetu kama somo halito eleweka kwa wana jamii tunao jaribu kujifunza nao. Na kama tungekuwa tunataka view tungepost hapa kila siku kutafuta views. We only post on weekends tu... kujaribu kushare kile tulicho nacho. But kama unaona hii haina msaada kwako its oky unaweza kuachana nayo tu kwa sasa.Wewe utakuwa unatafuta views mkuu
Mbona haujaweka angalizo kama ni for developers!?...Brother it's all about kujifunza kaka, Views hazina manufaa kwetu kama somo halito eleweka kwa wana jamii tunao jaribu kujifunza nao. Na kama tungekuwa tunataka view tungepost hapa kila siku kutafuta views. We only post on weekends tu... kujaribu kushare kile tulicho nacho. But kama unaona hii haina msaada kwako its oky unaweza kuachana nayo tu kwa sasa.
Unatafuta viewers?Menu hiyo imewekwa kwa developers only, Menu hiyo inasaidia kuongeza uwezo wa Chrome ikiwa pamoja na kubadilisha muonekano kabisa wa Chrome. Thats Short Version ----- Long Version ni kwamba please angalia video hata sekunde 20 za kwanza na kama utaona ni kitu ambacho huitaji unaweza kuachana nacho tu.
Wanakuja wenye Bando za kutosha
Wee mkaka samahani mbona PC yangu haiingizi chaji?Menu hiyo imewekwa kwa developers only, Menu hiyo inasaidia kuongeza uwezo wa Chrome ikiwa pamoja na kubadilisha muonekano kabisa wa Chrome. Thats Short Version ----- Long Version ni kwamba please angalia video hata sekunde 20 za kwanza na kama utaona ni kitu ambacho huitaji unaweza kuachana nacho tu.
Tunapotumia simu huwa "tuna-tap" na "hatu-click" matumizi mabaya ya lugha wakati flani hupotosha maana!Habari wana JF, I Hope wote humu mko salama. Kwa siku yaleo ningependa kushare nanyi njia rahisi ambayo unaweza kuitumia kuweza kubadilisha muonekano wa Google Chrome ikiwa pamoja na kufanya mambo mbalimbali kupitia browser ya Google Chrome ya Android. Najua njia hizi zitaweza kuwasaidia watu wengi sana na kwa namna moja ama nyingine pia Menu hii itakuwa ni kitu kizuri sana kwenu wana JF. Basi bila kupoteza muda twende tukangalie njia hizi.
Kama umekwama mahali unaweza kuliza kupitia hapo chini.
ThanksTunapotumia simu huwa "tuna-tap" na "hatu-click" matumizi mabaya ya lugha wakati flani hupotosha maana!
Samahani, Sijaelewa swali lako.Wee mkaka samahani mbona PC yangu haiingizi chaji?
Tunatafuta namna nyingine siku za karibuni, endelea kuwa nasi.Huyu jamaa huwa anakosea hapa tuu