beibe nasty
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 1,640
- 525
Ama ugali na kuku wa kuchanganya na mnafu na nazi, then kachumbari kiduchu.
Kuna tambi zile nyembamba kama mchele, kwa nyama ya kusaga. Unapika separate unaweka kwenye chombo (casserole ya glass ndo mwake mwake), tanguliza nyama ya kusaga iliyoungwa, tandazia tambi juu. Kwangua cheese (yoyote), halafu weka kwa oven dakika chache ama palia mkaa.
Uniite basi leo sijafunga
Kuku hela haitoshi mamapika wali wa kuku na mboga za majani pembeni
Sasa leo ndo tunapika nini? Sema niandae my stomach isije ikaunguruma kama radi mom akaogopa.
unaweza tengeneza vegetable spaghett na maini ya kukaanga. yan hyo sp unaipika hv. chemsha maji moto sna kisha epua,katakata sp ktk size utakayo dumbukiza ktk yale maji ya moto. zikilainika toa weka pembeni. weka mafuta jikon,tia kitunguu,nyanya.hoho na karot na kama utapenda masala/carry powder waweza weka pia. huo mchanganyo ukiiva unatia zile sp kwa muda mfup tu zinakuwa tayari. thn kaanga maini km kawaida yakiiva mlo wako unakuwa tayar kabisa. usisahau matunda / juice of ur choice! mapish mema
Yes Mentor!!!
Kiasi chake c sana.
Haya leo na wife/gf wako mnataka mpike nini niwasaidie?
Ninaweza ku-solve labda.
Ama ugali na kuku wa kuchanganya na mnafu na nazi, then kachumbari kiduchu.
Kuna tambi zile nyembamba kama mchele, kwa nyama ya kusaga. Unapika separate unaweka kwenye chombo (casserole ya glass ndo mwake mwake), tanguliza nyama ya kusaga iliyoungwa, tandazia tambi juu. Kwangua cheese (yoyote), halafu weka kwa oven dakika chache ama palia mkaa.
Uniite basi leo sijafunga
Kwa hesabu ya haraka haraka nyie wawili hakuna atakayekuwa na uzito chini ya kg 90! Khaaa!!!Cha kukushauri Pika Prawns waliokaangwa na mafuta ya tui la nazi,changanya na maharagwe machanga+rosechilli tia na Royco,hoho,karoti,ngogwe na kandimu kwa mbali bila kusahau kijitui cha nazi.
Baada ya hapo sukuma chapati za maji halafu ule pamoja na huo mchanganyiko wako (hata ugali,wali,pasta,ndiz,viaz,mkate waweza kutumika).
Taste yake iko so mwaaa!!
Waweza shushia na Guava juice ndo mwake.
Je beibe nasty wahtaji kufahamu jinsi ya kuandaa pilipili laini kwa kutumia mbogamboga iliwayo ikiwa ndani ya fridge?
Karibu.
Kwa hesabu ya haraka haraka nyie wawili hakuna atakayekuwa na uzito chini ya kg 90! Khaaa!!!
Mazoezi siku hizi ni ngumu kama ilivyo kutumia kondomHahahahahahah...babuuuuuuu i knew u were somewhere around.
Lakini si inawezekana wanafanya na mazoezi???!