Unaniambia mm nikojoe dagaa ? ๐๐๐๐Nilipeleke wapi na hapa ndio limefika๐๐
Kama linakukera ka..... dagaa
Nimekublock wapi ๐คฃSponsor umeniblock nilikua apeche alolo.. Nimeshinda nimelala
๐๐๐๐Unaniambia mm nikojoe dagaa ? ๐๐๐๐
Nitakubamizaa
Mbona hamueleweki? Niongezeke unene au kimo? Maana mnasema mekondeana baada ya kuachwa. Sahivi mfupi futi 4.Nimekublock wapi ๐คฃ
Sikuona hata kasms jamani..
Umeshinda umelala safi hiyoo, utakuwa umeongezeka kimo ๐
Anaumwa chupu chupu nimkose...Kumbe unaumwa na hujaniambia
Poleee jamani didi
๐คฃ๐คฃ๐Anaumwa chupu chupu nimkose...
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐ค afu huyo alokuacha tutakuja mchapaโฆMbona hamueleweki? Niongezeke unene au kimo? Maana mnasema mekondeana baada ya kuachwa. Sahivi mfupi futi 4.
๐๐ usisogezee hata ukucha๐๐๐๐
Njoo nipo hapa nimekaa nakusubiri
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐๐Itoshe kusemaโKila Penzi litaonja Umautiโ..![emoji17]
Ndio nakukabaga ukilala bila kusaliโฆUnaenikabaga ni wewe hapo Kila siku, naamka nimechoka...
Alafu mimi hata siyo mwema.. Nina roho mbaya sana...
Kingine kama kitanda chako ni tano Kwa nne wewe ni unajiegesha tu...Ndio nakukabaga ukilala bila kusaliโฆ
Roho mbaya huna, ni unajifanyaga uko mjeuri tu lkn hamna kitu๐
Una mkabo wa faida... ๐๐Ndio nakukabaga ukilala bila kusaliโฆ
Roho mbaya huna, ni unajifanyaga uko mjeuri tu lkn hamna kitu๐
Unadhambi sana... Unajua mwenyewe...
๐๐๐๐ kaushaaUnadhambi sana... Unajua mwenyewe...