Manjesta united πKwani ye timu Gani huyo πππ
Kumbe ni wale wale mabingwa wa carabao cup π π πManjesta united π
Ila kwa walivyocheza wiki iliyoisha tusiwakatie tamaa wanaweza kujitahidi wasishuke daraja msimu huuπKumbe ni wale wale mabingwa wa carabao cup π π π
Wamebadilisha kipa sijui kwanini wakati mashabiki tunamtaka onana πππIla kwa walivyocheza wiki iliyoisha tusiwakatie tamaa wanaweza kujitahidi wasishuke daraja msimu huuπ
π dah unanipa mtihani kaka,
Na kukutongozea kabisa au ukiitiwa unamaliza mwenyew π π π
Ni sawa sawa na swali la hesabu umekutana nalo kwenye kiswahili ππ dah unanipa mtihani kaka,
Nimesahau nilifikiri waifu materialUnajimention mwenyewe, au siyo?
Nitauleta weekend wa kukesha nao π πLete Uzi mpya mama Antipas tukeshe nao
Asante sana kwa uelewa dunia hii inahitaji watu kama weweBeira Boy nipo ndugu yangu, nimeona tusiharibu uzi wa watu kule, kwa kusalimiana π ndiyo maana nimeshindwa kukujibu pale. Majukumu ya hapa na pale tu yalinibana, ila nipo.
Ahsante sana, tuko pamoja ππ€Asante sana kwa uelewa dunia hii inahitaji watu kama wewe
Pole sana kwa majukumu japo kuwa ni lazima kutimiza wajibu na majukumu ni utu
AMINA ubalikiwe sana dada yanguAhsante sana, tuko pamoja ππ€