Mention someone without any reason just to disturb them

🙏🏽🙏🏽🙏🏽 Naam tunakorofishana sana huko siasani lakini siwezi kukataa ukweli kwamba katika vichwa hapa jamvini wewe ni mmoja wenye vichwa vizuri sana.,

😘😘😘😘 BAK na Coco mna mioyo ya kipekee japo huwa nawakorofisha upande wa siasa wala hamna kinyongo salute kwenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…