Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,363
- 58,386
Hapa body structure nakubaliana na weweDON'T...ever think just because you paid a grip, you will look cool in them. Understand your body structure.
Hapa body structure nakubaliana na weweDON'T...ever think just because you paid a grip, you will look cool in them. Understand your body structure.
Hahah...sawa ila naomba ujue sintakuangusha kabisaaKhaaaah! Na uzee huu siku hizi wote nawachukulia kama wanangu tu
Hebu fafanua tafadhali.
Kama ni hvyo kwenye hii thread unafanya nn??NI KUJISUMBUA TU. AFTER ALL NI MADHARA GANI MTU ANAPATA ASIPO MECHISHA NGUO? WE HAVE A LOT TO DO INSTEAD OF WASTING TIME KUMECHISHA.
Definately mkuu,pink is king women thing sanabasi tu pink hainivutii,kisha naamini ipo kike zaidi
Win win situation hahahaWhile you waste time on other things.......Some people waste time in the 'art of dressing'
That makes the two of usmkuu wanaovaa wavae lakini sio mimi.mimi nitavaa ikiwa tu ni uniform ya kazi.
YeahNa perfume pia huwezi kupendeza halafu unanuka jasho
No mkuu there must be a standard regardless umependa au hujakipenda ww mvaaji au regardlesa ya bei yakeAhaaa kwahio kwenye uzuri bei doesnt matter ni vile mvaaji anavyokiona? Huoni ni contradiction na statement yako 'vaa saa ya 50k na kuendelea sio ya buku tatu'?
Blv me when i tell u mkanda matters the mostMkanda sio sana mkuu maana sio wakati tunachomekea...
HehehehehSorry Paul Sergio,...are you married?
who sets the standard(s)?No mkuu there must be a standard regardless umependa au hujakipenda ww mvaaji au regardlesa ya bei yake
yaani anaingia kanisani halafu anakereka na nyimbo za dini.Kama ni hvyo kwenye hii thread unafanya nn??
Blv me when i tell u mkanda matters the most
Sio lazima.uonekane but u have to be care about mkanda na rules za uvaaji wake
Unasemaje ndugu ?
Nimekuita hapa ili nawewe angalau upanue uelewa au uchangie mawili matatuUnasemaje ndugu ?
Ingia hapa
Darasa la kupigilia pamba kijanja
Uzi umewekwa STICKY labda ndo sababu hujauona
Mchango wangu ni huo uzi niliowaleteaNimekuita hapa ili nawewe angalau upanue uelewa au uchangie mawili matatu