Meno ya Tembo yamtia Mbaroni mkazi wa Katavi

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,410
Ikiwa vita dhidi ya ujangili vikiendelea, huko Mkoani Katavi limemkamata na kumshikilia ndugu Oscar Pius anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka kama 30 mkazi wa Nyakasi Wilaya ya Milele kwa tuhuma za kukutwa na meno mawili ya Tembo.

Kaimu kamanda wa polisi kwa Mkoa wa Katavi Focus Malengo amesema kuwa mtuhumiwa alikamatwa juzi majira ya saa moja asubuhi akiwa na meno hayo yenye uzito wa Kilogram 32. Na taarifa ziliwafikiwa Polisi baada ya kujulishwa na raia wema thamani ya meno hayo inakadiriwa kuwa ni Milioni 32.
 
Back
Top Bottom