Wadau meno yangu yamechomoza kwa nje kiasi kwamba najisikia uncomfortable kusmile. Kuna hospitali au wataalamu au namna nyingine yoyote ninayoweza kutumia kuyeweka meno yangu katika muonekano mzuri
visit hopitali ya doctor shabiri ipo katika jongo flani la Blue liloo mtaa wa jamuhuri next na kituo kidogo cha polisi kabla ya duka la masumini watmaliza tatizo lako-uwe na mshiko wa kutosha

Mbali na kujiskia unconfortable ni tatizo gani tena unalipata?
kama hakuna ni bora ubakie hivyo hivyo ndugu.
nahofu mbali na gharama kubwa sana lakini pia usije ukasababisha matatizo mengine.
Kubali hali halisi ndugu yangu.