Mengine kuoneana tuu

Kila muda unavyoenda jamaa anazidi kuumia kwa mawazo akifikiria hiyo mechi itakuwaje?
 
Eeh ndo mtulishe tuvimbe ili watu wajue kuwa baba fulani anajua kutunza!
 
Hahhahahaaaa hizi comments zako huku photos leme reserve my comments

Nafikisha ujumbe kwa mtu fundenge maana bahili hatari...hapa nimekondeana balaa afu ye libonge la kufa mtu!?!.. Asante mleta mada mesage received!!
 
Nafikisha ujumbe kwa mtu fundenge maana bahili hatari...hapa nimekondeana balaa afu ye libonge la kufa mtu!?!.. Asante mleta mada mesage received!!

Hahhahahaaaa Hahhahahaaaa Hahhahahaaaa 😯😯😯😡😡😡😬😬😬😠😠😠😕😕😕😧😦😨
 
Reli imara ina uwezo wa kumiliki kila aina ya treni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…