warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,213
- 18,466
hii ndoa imefungwa kanisa gani huko mauritus?
Ndo nafanya mchakato wa visa niende uko Mauritius nikapate umbea vzur
hii ndoa imefungwa kanisa gani huko mauritus?
Kuropoka ropoka, si unajua tena umbea ukikolea unajisahau... shoga ako shamim nae kafanya soo gani tena??
binamu nipe ubuyu jamani.......
Nilisikia wiki iliyopita watu wanamzungumzia insta kuwa ata yeye nae yumo, sasa hawakuzungumzia vzur nkakosa umbea, nkajua best ake utakua unajua