mada nzuri sana, wandugu reginald mengi sio mzalendo na mpiganaji kiasi wengi wanavyomfikiria. Kwanza ni rafiki kipenzi wa mkwere ambae ni fisadi no 1. Pili bif yake na akina rostam imekaa kimaslahi binafsi zaidi. Janja yake mengi ni kukimbilia kwa wananch ili apate mass suport. Kama angekua mkweli asingekua na kadi ya ccm mpaka leo, na bado ni kada wa ccm na mpambe wa mkwere. Hahujumiwi na mtu yeyote na bado mabaya yake yote yataonekana, kwani mara zote mungu hamfichi mnafiki, waache wa hame tu, hata sylivia nae ataondoka. She is young and very brilliant lawyer. Mengi anapenda umaarufu kwa kujifanya anasaidia sana wakati wafanyakazi wake anawalipa vijisenti. Huo ni unafiki.