STRUGGLE MAN
JF-Expert Member
- May 31, 2018
- 8,638
- 16,568
Na ni kwanini wamlenge yeye na sio mwingine huko Somalia. Lazima alikuwa na dili chafu na magaidi. Unaweza kuta mawasiliano muhimu yanayopitia kwenye huo "mtandao mkubwa" alikuwa anawa-feed magaidi. In short atakuwa alikuwa mtu wao kwenye mifumo ya mawasiliano.Sasa huyo mtu mkubwa ni wa kampuni gani hata umeshindwa kumtaja?Bila shaka huyo tajiri anajihusisha na Al shabaab ndio maana amefyekwa.Lingekuwa kosa kama Huyo mtu wako angeuawa kimakosa ila kwa kuwa yeye binafsi ndiye aliyelengwa basi lazima anahusisshwa na magaidi.Halafu Marekani sio wanyama kiasi hicho kwamba wao wanenda tu somalia na kuanza kuua raia wasio na hatia hiyo sio kweli.
Tusubiri ukweli halisia huu uliotuletea haujajitosheleza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yanii wewe Mmarekani wa Nzega umeshajua kabla hata ya wahusika wenyewe kusema lolote juu ya shambulio hilo?Marekani sio wajinga; lazima huyo jamaa alikuwa na mafungamano ima ya siri na al-Shabaab.
Na kama angelengwa mwingine basi ungeuliza hivyo hivyo, kwanini wamlenge huyo na si mwingine!Na ni kwanini wamlenge yeye na sio mwingine huko Somalia. Lazima alikuwa na dili chafu na magaidi. Unaweza kuta mawasiliano muhimu yanayopitia kwenye huo "mtandao mkubwa" alikuwa anawa-feed magaidi. In short atakuwa alikuwa mtu wao kwenye mifumo ya mawasiliano.
Si walisema pia na Saddam Hussein anazo silaha za WMD,je walizipata hizo silaha mpaka leo?Kwenye eneo la Udukuzi sina mashaka na CIA. Endapo wamesema jamaa ni mtu mbaya basi kweli ni mtu mbaya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni nani asiejua kuhusu hilo, Marekani ni wanyama tuSasa huyo mtu mkubwa ni wa kampuni gani hata umeshindwa kumtaja?Bila shaka huyo tajiri anajihusisha na Al shabaab ndio maana amefyekwa.Lingekuwa kosa kama Huyo mtu wako angeuawa kimakosa ila kwa kuwa yeye binafsi ndiye aliyelengwa basi lazima anahusisshwa na magaidi.Halafu Marekani sio wanyama kiasi hicho kwamba wao wanenda tu somalia na kuanza kuua raia wasio na hatia hiyo sio kweli.
Tusubiri ukweli halisia huu uliotuletea haujajitosheleza.
Sent using Jamii Forums mobile app
... na ni kwanini wamlenge yeye na sio mwingine huko Somalia. Lazima alikuwa na dili chafu na magaidi. Unaweza kuta mawasiliano muhimu yanayopitia kwenye huo "mtandao mkubwa" alikuwa anawa-feed magaidi. In short atakuwa alikuwa mtu wao kwenye mifumo ya mawasiliano.
Si walisema pia na Saddam Hussein anazo silaha za WMD,je walizipata hizo silaha mpaka leo?
Wanacomment kwa msukumo wa mahaba niue.
... Marekani sio wajinga; lazima huyo jamaa alikuwa na mafungamano ima ya siri na al-Shabaab.
Nothing New
Gaidi Namba Moja Ulimwenguni ni US
Wauaji Namba Moja Ulimwenguni Ni US
Bila Uwepo wa US na ISRAEL Dunia na Ulimwengu Kwaujumla Wake Pangelikua Mahala Salama Na Amani Mnoooo
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli kabisa mkuuNothing New
Gaidi Namba Moja Ulimwenguni ni US
Wauaji Namba Moja Ulimwenguni Ni US
Bila Uwepo wa US na ISRAEL Dunia na Ulimwengu Kwaujumla Wake Pangelikua Mahala Salama Na Amani Mnoooo
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona asilimia kama sabini ya comments ni za mleta mada mwenyewe, yamkini unatumia ID tofauti basi,
Una chuki mno na Mmarekani, wewe tulia haohao unaowachukia bado unatumia teknolojia zao karibu zote
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona asilimia kama sabini ya comments ni za mleta mada mwenyewe, yamkini unatumia ID tofauti basi,
Una chuki mno na Mmarekani, wewe tulia haohao unaowachukia bado unatumia teknolojia zao karibu zote
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata wewe pia unachukiwa na marekaniNaona asilimia kama sabini ya comments ni za mleta mada mwenyewe, yamkini unatumia ID tofauti basi,
Una chuki mno na Mmarekani, wewe tulia haohao unaowachukia bado unatumia teknolojia zao karibu zote
Sent using Jamii Forums mobile app
Nothing New
Gaidi Namba Moja Ulimwenguni ni US
Wauaji Namba Moja Ulimwenguni Ni US
Bila Uwepo wa US na ISRAEL Dunia na Ulimwengu Kwaujumla Wake Pangelikua Mahala Salama Na Amani Mnoooo
Sent using Jamii Forums mobile app