Meneja Sallam anatarajia kufungua redio yake ya mtandaoni (online radio) itakayoitwa DSM Fm na Rommy Jones atakuwa ni miongoni mwa watangazaji katika redio hiyo
Ni kweli mkuu hasa Ruge jamaa mim namkubali sana hana uswahili wala roho ya kwanini, angalia watangazaji wake karibia wote wana vitenga uchumi nje ya ofisi!!