kamati ya ufundi
JF-Expert Member
- Sep 30, 2014
- 416
- 441
Uko nchi gani?Video ipi?
Unajua huku ni wapi?Baada ya Uchunguzi kukamilika kitengo cha Uhalifu wa makosa ya mtandaoni kimemkamata Meneja wa msanii Diamond maarufu kwa jina la Babu Tale kwa kuhusika kusambaza video ya udhalilishaji kwa msanii wa kizazi kipya Nandy.
Naijua video ya nandy na billnas ambavyo ilipostiwa na page nyingi tu insta. Why ilete matatizo kwa babutale? alichoandika babutale ndo sikijuiUko nchi gani?
Tatizo kusambaza ndugu,yaani hakutosheka kuangalia peke yake,akikutwa na hatia nadhani miaka isiyopungua 7 au 14Upumbavu wa wengine, uwaadhibu wengine ....
Diamond alisambaza mwenyewe kwenye Snapchat na InstagramMh! Si Nandy amesema video imemuongezea umaarufu?
Na ile ya Diamond nani aliipost, amekamatwa au uchunguzi unaendelea?
Diamond alisambaza mwenyewe kwenye Snapchat na Instagram