Meneja TANESCO Nansio "atumbuliwe"

Meneja TANESCO Nansio "atumbuliwe"

mfungwa

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2015
Posts
1,294
Reaction score
345
Huyu mtu sielewi kabisa kazi yake, maana kila wiki lazima umeme ukatike katika wilaya hii.

Hakuna wiki hata moja iliyoachwa umeme ndani ya siku 1 au 2.

Ninavyoongea leo siku ya tatu umeme haupo. Hivi hii ndio Tanzania ya viwanda au mna fanya majaribio ya kuwa na midomo majukwaani.

"Tanzania ya viwanda wakati umeme wiki haupo" na bado unaitwa meneja. Sielewi!
 
Wangekuwa transparent, wangeweka namba ya waziri wa nishati ili yeye ndioutueleze, mimi mwezi wa pili huu nimelipia mita ya three phase, kila nikifatilia mita hamna, ilihali wameshachukua, 912, 100. Mungu yupo. Siku Haya yataisha.
 
Mkuu namba ya waziri haitokusaidia. Anaonekana ni jipu. Dawa yao mtumbua majipu
 
Wapo hawa wa chini, ukienda kulipia rafiki, subili huduma sasa quality
 
Back
Top Bottom