ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,589
wewe naona unataka tukuweke katika ban kama mwenzako Rukazwe wewe angalia kwenye mifuko ya ko ya kaptura kama hakuna mende jamani akina dada wenzangu wa humu jf huyu anatutania na kutuchokoza hapa
wenye kujua jinsi ya ku deal na hawa wadudu tafadhali sana jitokezeni mtueleze maana na mimi home kwangu ni balaa mpaka aibu, nshajaribu sumu na njia nyingi kuwateketeza mende, watakufa kwa wingi halafu baada ya muda wanazaliwa wengine kwa wingi, yaani nishachoka!
halafu huwa wanakera yaani usiweke kitu ukazima taa dk. moja ukiwasha taa utaona wanavyokimbizana yaani hawana tofauti na kunguni aisee.kama ulikuwepo1 ni wadogo aisee! :dizzy:
ukitaka mende waishe siku ya fumigation unatakiwa upige na kwa majirani zako ndipo utadhibiti
Fuga mijusi