Babu Kijiwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 4,845
- 4,776
ni kweli mkuu geto langu lilikuaga chafu balaa sikuonaga mende..... basi siku iyo kesho yake anakuja manzi angu nikapiga usafi wa kufa pipo.....kesho yake manzi yupo geto nikashangaa mende kadhaa wamejitokeza kweli nimeamini mende hakai geto chafu mpaka upige usafi
Aisee!! Usafi wa kudanj pipo lakini mende wakatia maguu ama nene!!!!!
Mende wanakaa penye uchafu hasa wa vyakula, na penye msongamano wa vitu vilivyowekwa hovyohovyo. Sababu kuu ya kutokaa kwa msela ni eneo dogo na hamna vitu vingi always kwny geto la msela yyte, so mende wannakosa pa kujifichaWadau baada ya kujikita ktk utafiti wa kina.... nimegundua mdudu aitwaye mende hawezi kbs kuishi kwenye geto la msela hata kama geto ni chafu. Tumefanya majaribio kwa kuwakamata na kuwaweka geto ila matokeo yake wote wametoroka sasa nadhani watakuwa wameanza maisha mapya kwenye kabati la mama mwenyenyumba. Naamini utafihuu umekuongezea maarifa. Ahsanteni sana, nawasilisha.
geto likiwa chafu mende hasogei sasa piga usafi wa kufa pipo afu tega uone mende watavyojitokeza.....
imenitokea mm so nina ushahidi
acheni uongo.mende hali ugali.anakula vitabu nguo mbao nk
acheni uongo.mende hali ugali.anakula vitabu nguo mbao nk