EINSTEIN112 JF-Expert Member Joined Oct 26, 2018 Posts 21,709 Reaction score 35,701 May 20, 2023 #1 Lazima tutambe kama tunavyotambiana hapa JF kwa ID fake
DeepPond JF-Expert Member Joined Nov 18, 2017 Posts 43,312 Reaction score 109,388 May 20, 2023 #2 Mwamba Ni mr.misifa
Chakorii JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 18,785 Reaction score 51,527 May 20, 2023 #3 Mwanaume ni lazima abaki kuwa mwanaume…hili halina ubishi. 50/50 kwa mwanamke na mwanaume hakuna. Labda ni huko Beijing china😁😁
Mwanaume ni lazima abaki kuwa mwanaume…hili halina ubishi. 50/50 kwa mwanamke na mwanaume hakuna. Labda ni huko Beijing china😁😁
EINSTEIN112 JF-Expert Member Joined Oct 26, 2018 Posts 21,709 Reaction score 35,701 May 20, 2023 Thread starter #4 DeepPond said: Mwamba Ni mr.misifa Click to expand... Lazima uvimbee kitaa ukifika home unakula za uso 🤣🤣
DeepPond said: Mwamba Ni mr.misifa Click to expand... Lazima uvimbee kitaa ukifika home unakula za uso 🤣🤣
EINSTEIN112 JF-Expert Member Joined Oct 26, 2018 Posts 21,709 Reaction score 35,701 May 20, 2023 Thread starter #5 Chakorii said: Mwanaume ni lazima abaki kuwa mwanaume…hili halina ubishi. 50/50 kwa mwanamke na mwanaume hakuna. Labda ni huko Beijing china😁😁 Click to expand... Unatumia kinywaji gani chenye kileo 😇😇😇🥂🍺🍸🥃🍷
Chakorii said: Mwanaume ni lazima abaki kuwa mwanaume…hili halina ubishi. 50/50 kwa mwanamke na mwanaume hakuna. Labda ni huko Beijing china😁😁 Click to expand... Unatumia kinywaji gani chenye kileo 😇😇😇🥂🍺🍸🥃🍷
dronedrake JF-Expert Member Joined Dec 25, 2013 Posts 24,596 Reaction score 60,819 May 20, 2023 #6 .....on her knees == BJ ?
Leejay49 JF-Expert Member Joined Feb 10, 2023 Posts 19,295 Reaction score 60,916 May 20, 2023 #8 sawa
Kapumpuli JF-Expert Member Joined Aug 11, 2018 Posts 2,277 Reaction score 3,001 May 20, 2023 #9 Chakorii said: Mwanaume ni lazima abaki kuwa mwanaume…hili halina ubishi. 50/50 kwa mwanamke na mwanaume hakuna. Labda ni huko Beijing china Click to expand... Hakika....
Chakorii said: Mwanaume ni lazima abaki kuwa mwanaume…hili halina ubishi. 50/50 kwa mwanamke na mwanaume hakuna. Labda ni huko Beijing china Click to expand... Hakika....
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 45,075 Reaction score 111,665 May 20, 2023 #10 Chakorii said: Mwanaume ni lazima abaki kuwa mwanaume…hili halina ubishi. 50/50 kwa mwanamke na mwanaume hakuna. Labda ni huko Beijing china😁😁 Click to expand... China ipi hiyo
Chakorii said: Mwanaume ni lazima abaki kuwa mwanaume…hili halina ubishi. 50/50 kwa mwanamke na mwanaume hakuna. Labda ni huko Beijing china😁😁 Click to expand... China ipi hiyo
H HeyItsP JF-Expert Member Joined Oct 9, 2021 Posts 3,750 Reaction score 9,999 May 20, 2023 #11 Half american said: China ipi hiyo Click to expand... Ya beijin jamani
H HeyItsP JF-Expert Member Joined Oct 9, 2021 Posts 3,750 Reaction score 9,999 May 20, 2023 #12 Half american said: China ipi hiyo Click to expand... China Plaza 😂😂
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 45,075 Reaction score 111,665 May 20, 2023 #13 Palina said: Ya beijin jamani Click to expand... Huko sidhan Kama Kuna 50/50
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 45,075 Reaction score 111,665 May 20, 2023 #14 Palina said: China Plaza 😂😂 Click to expand... Labda hiyo sawa maana nayo n chaina
H HeyItsP JF-Expert Member Joined Oct 9, 2021 Posts 3,750 Reaction score 9,999 May 20, 2023 #15 Half american said: Labda hiyo sawa maana nayo n chaina Click to expand... Kwani china plaza ikogo wapi mkuu, naisikiasikia tu
Half american said: Labda hiyo sawa maana nayo n chaina Click to expand... Kwani china plaza ikogo wapi mkuu, naisikiasikia tu
Chakorii JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 18,785 Reaction score 51,527 May 20, 2023 #16 Half american said: China ipi hiyo Click to expand... Buguruni Malapa
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 45,075 Reaction score 111,665 May 20, 2023 #17 Chakorii said: Buguruni Malapa Click to expand... Labda hiyo lakin sio ile ya hu haa master
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 45,075 Reaction score 111,665 May 20, 2023 #18 Palina said: Kwani china plaza ikogo wapi mkuu, naisikiasikia tu Click to expand... Tembea kkoo utaliona
Palina said: Kwani china plaza ikogo wapi mkuu, naisikiasikia tu Click to expand... Tembea kkoo utaliona
N Ninaweza Platinum Member Joined Dec 14, 2010 Posts 14,430 Reaction score 9,889 May 21, 2023 #19 Chakorii said: Mwanaume ni lazima abaki kuwa mwanaume…hili halina ubishi. 50/50 kwa mwanamke na mwanaume hakuna. Labda ni huko Beijing china😁😁 Click to expand... Mkuu effects za beijing zipo, kwa sasa mwananke anaye manage familia haamini kuwa hiyo ni kazi, hata kama familia inao members 20 wakiwemo na watoto wadogo.
Chakorii said: Mwanaume ni lazima abaki kuwa mwanaume…hili halina ubishi. 50/50 kwa mwanamke na mwanaume hakuna. Labda ni huko Beijing china😁😁 Click to expand... Mkuu effects za beijing zipo, kwa sasa mwananke anaye manage familia haamini kuwa hiyo ni kazi, hata kama familia inao members 20 wakiwemo na watoto wadogo.