Men who do these things for their women will be loved forever

Men who do these things for their women will be loved forever

Pole Mkuu Japo ungeandika kiswahili ili wengi wasome... Mkuu hata ufanyeje Hakuna kiumbe wa kike atakupenda... Kikubwa Ni kuwa Jinsi ulivyo halafu atatokea wa kukupenda Kama ulivyo.... Kama Kuna Mapungufu Basi mtayarekebisha njiani.....
 
Hahaha unanikumbusha mbali sana ktk somasoma yangu ya vitabu kuhusu maisha ,siku moja nikakutana na hilo neno utopian,nilihangaika mno kujua maana yake,nilivogundua nkajiona mjinga sana sasa umelitumia hapa kwa mleta uzi,umenkumbusha mbali.....thanks
Hahah zaman sana...enz za shule...sasa mleta mada ameleta uzi wenye misingi ya jamii za kiutopian...
 
Tumeshasema mwaka huu hatutaki love coachers, motivational speakers n.k ilikua mwisho mwaka jana tu,.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom