utakwe radhi kwani mwanamke ni mtu umesahau yesu alilisha watu elfu tano bila hesabu ya wanawake
utacheka sana ila neno la mungu halibadilikoHahahaaaaaaaaa! Imebidi tu nicheke kwa kusikitika!!!!!!!! Hujui kama tulianza kuhesabu Ano Domino (AD) imediately After Christ?????????? Mambo za Before Christ (BC) zama zake zilipita kitambo sanaaa!
mmh! maneno yako mi sina la kusema!You must be lntelligent,you must be brilliant, you must be a successful in your wed and Life at Large!!!
Ungekua na mtoto wa kike kila mwanaume angemkimbilia kumuoa,maana ungemlea vile wewe ulivyo.
Ndani ya maneno yaliyojaa hekima na busara hapo juu,it proves as ww ni mwalimu, Tena siyo kwa Bahati mbaya.
Hongera!