Ilo jina lako mh!!!.... mi nadhani ni sababu tosha ya kutodumu na wanawake.
kwani hilo jina linamaana gani.!??
Ilo jina lako mh!!!.... mi nadhani ni sababu tosha ya kutodumu na wanawake.
Mods please,Mbadilishieni jina huyu chalii.....
Sijui form 3..............duh
Hilo jina halina ubaya wowote. Halina maana kama mnayoidhania.
Jifunzeni Kiswahili!!!
Maana yake ni nini?
Ndio maana kila kukicha ID mpya zinakuja na mambo, hapa tatizo sio mada ulioileta naona tatizo ni ID yako , Umekaa na kutakafakari ya kuwa hii ID ndio inanifaha.Hilo jina halina ubaya wowote. Halina maana kama mnayoidhania.
Jifunzeni Kiswahili!!!
Na Uboho kwa kiswahili ni kiungo cha siri cha mwanaume.Uboho kwa Kiingereza ni bone marrow. Ule urojo rojo ulioko katikati ya mifupa.
Sasa bone marrow ni tusi?
Ndio maana kila kukicha ID mpya zinakuja na mambo, hapa tatizo sio mada ulioileta naona tatizo ni ID yako , Umekaa na kutakafakari ya kuwa hii ID ndio inanifaha.
Kwa kuwa kitambulisho chako kinajieleza hivyo ulivyo, hapa watu wakusaidiaje.?
Huu ni mtandao wa kijamii, hivi wazee wetu wakiingia kwenye mtandao na kukuta ID za ajabu ajabu kiutamaduni wa kitanzania sio vizuri.
Nanyi Mods nawaomba ujaribu kuzicontrol hizi ID mpya zinazosajiliwa kila kukicha, sio mtu kasajili leo na leo leo, anaanzisha topic za ajabu ajabu zingine.
Uboho kwa Kiingereza ni bone marrow. Ule urojo rojo ulioko katikati ya mifupa.
Sasa bone marrow ni tusi?
Na Uboho kwa kiswahili ni kiungo cha siri cha mwanaume.
Ndio maana kila kukicha ID mpya zinakuja na mambo, hapa tatizo sio mada ulioileta naona tatizo ni ID yako , Umekaa na kutakafakari ya kuwa hii ID ndio inanifaha.
Kwa kuwa kitambulisho chako kinajieleza hivyo ulivyo, hapa watu wakusaidiaje.?
Huu ni mtandao wa kijamii, hivi wazee wetu wakiingia kwenye mtandao na kukuta ID za ajabu ajabu kiutamaduni wa kitanzania sio vizuri.
Nanyi Mods nawaomba ujaribu kuzicontrol hizi ID mpya zinazosajiliwa kila kukicha, sio mtu kasajili leo na leo leo, anaanzisha topic za ajabu ajabu zingine.
Hata kama,hiyo haimaanishi kwamba jina lake mtu akilisoma
haraka haraka hata hisi kwamba ni uume.
Kuna maneno mengi sana ya kiingeleza yana maana tofauti katika kiswahili.
Hata kihindi pia kuna maneno ambayo huwezi kuyatumia hapa kama ID
yako then ukasema yana maana tofauti huko India.
Huwezi kujiita "***** Special" ingawa ina maana tofauti India,...Check Home
Au huwezi kujiita "Kumar" kwenye jamii ya waswahili maana utakua una halalisha matusi ingawa
India ni jina la mtu.
Nenda kwenye kamusi ya kiswahili sanifu.Nipe mamlaka yanayosema hivyo.