Ha ha haaaa haya bana!!!!!!
Wengine wanataka wapaka poda wengine wanataka ngoma ngumu!!!!
Dada we tafuta kitufe cha size ya kidole chako and switch it on!!!!
Uta data bure kutufuatisha sie sometimes unakuta tu life inazingua and pondering inakuwa inevitable hapo sio tumenuna ila ndio hivyo tena 1+1inakupa zero na ukigawanya pia haitoshi kukishirikisaha anaona atakuumiza ,kuchelewa kurudi utamaind so anakaa home tu ila full kula pini!!!!!!!!
Muulize kama yupo poa hakikisha kala kama kuna fruits au chochote muwekee then shake ya asss offf nawe weka tamthilia watch!!!!!!