men men men

Dada Lara1 kizungumkuti ni pale inapotokea jamaa akaku-ignore wakati bado moyo wako piga ua bado unamzimia huyo charlie!
 

it's is unfortunate that you hate the truth....men control
 
Dada Lara1 kizungumkuti ni pale inapotokea jamaa akaku-ignore wakati bado moyo wako piga ua bado unamzimia huyo charlie!

Rudisha Avatar ya MJEDA ndo inaendana na jina la SHERRIF!!!!!!!!! Otherwise badili jina uwe DETECTIVE ARPAIO
 
Tumefanyaje tena? Mnataka nini kutoka kwetu? Ok mmoja atoe definition ya mapenzi, rules na na na za mapenzi
 
we famba kweli...,akikuignore inamaana hulipi..c o mpaka uambiwe hulipi..ni tunasepaga kimya kimya..tu
 
Hujajua kutofautisha "your" na "you are" ambayo hufupishwa "you're"
Bora ungeandika KISWAHILI.
 
Yeah that's true.....that's why i'm afraid to fall in Love

I have fall in love indeed but am very carefull watching his steps as i hv been biten by a snake once that will not happen again kama itajirudia at least not in a painfull way.
 

Hao ni binadamu not wanaume coz hata wanawake wapo ila SI WOTE, u have to deal with binadamu. Munyama hatari duniani kuliko wote ni binadamu
 

Duuuuu!!! Nakupa muda utamtafuta wa kumpa heshima usimpate.
Hapa uko twentiiiiz ukiiingia thatiiiz++++ utaelewa
 
Tatizo wadada hutumia moyo kupenda!!
Tumia akili zaidi wala haita umia!!!
Kama unataka kitu kwake hakikisha unapata!!
Siku zote weka mambo ya maendeleo mbele!!
Mwenyewe ata salute!!!
Sio kila saa mara club o beach, atakudharau
Vitaje mara chache ili kufurahia maisha!!
Hakikisha unapata somethng hata mkiachana
Na ukangalia nyuma!! U really had something to show!!!!
 
Duuuuu!!! Nakupa muda utamtafuta wa kumpa heshima usimpate.
Hapa uko twentiiiiz ukiiingia thatiiiz++++ utaelewa
age is nothing but a number! when he belongs to u haijalishi mydear! :A S 27:
 
Nimejifunza kupenda nijipende mimi kwanza aah,usitegemee kupata uvitakavyo kutoka kwa mtu yeyote..
Your happiness comes from your ownself...
Ewaaa hapo angalau umeongea
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…