Nakubali point zote kasoro ya 7, kuna mtu hatoboi maishani kuzaliwa had kufa yan kumaanisha asioe? Nafikiria useme "Marry the right one" coz ukikosea ni kuvuruga maisha yako na kizazi chako lakini kama unaweza angalau kupata mlo wa siku na kupanga kibanda sioni sababu ya kutokuoa wengine wanatoboa baada ya kuoa.