Hehehe! Sikua nakumbuka tunaye Mkuria bwana
Nivlark
Kuna huyu mrembo Mtanzania anayeitwa
Sky Eclat naona anawakubali sana nyie kwa jinsi hambebwibebwi kama sisi wanaume wa Nyeri. Anaomba tuanze zoezi la kubadilishana wake zetu na nyie labda watanyooka wakija huko.