Memory cards SanDisk 16GB Original for sale

Mario Max

Member
Joined
Jan 10, 2018
Posts
22
Reaction score
3
Wadau kama kilivyokichwa cha uzi, changamkia hii bidhaa adimu kwa bei chee jumla na rejareja ni tsh 10,000 per piece

Karibuni sana, nipiem kama wahitaji tuwasiliane
 
Tatizo hzo memory card nyingi fake inaandikwa GB 16 na kweli ukiiweka kwenye device yko inasoma hivyo kasheshe iweke vitu haipokei na hata ikipokea aifanyi kazi. Ni wizi mtupu nikitaka memory naingia dukani na maduka yenyewe sio ya Agrey
 
Scan disk siku hizi nyingi ni majanga, unakuta imeandikwa 16gb ukiweka vitu vinakataa na mara nyingi vinakuwa damaged havisomi
 
Kaka usiogope ukija nakupa proof genuine product ,Mimi sifanyi business za fake items trust me
 
Scan disk siku hizi nyingi ni majanga, unakuta imeandikwa 16gb ukiweka vitu vinakataa na mara nyingi vinakuwa damaged havisomi
Don't worry I can give you one piece go with every where you can validate it's genuine
 
Habari wadau.
Karibuni wote wale mliokua NA UHITAJI WA ORIGINAL MEMORY CARD kwa bei ya chini/jumla kabisa BEI hizi sidhani kama kuna mahali utaweza zipata popote pale ONLY kwangu mimi kama Utaweza kufahamu mwenye bei kama hizi iwe ni wewe nitaomba kuzinunua..

32gb :18,000/-

16gb : 12,000/-

NOTE: Memory card ni ORIGINAL NA zote zipo SEALED ndani ya package yake,ukitaka kutest ili kuhakikisha memory ni ORIGINAL au LAH,RUKSA!

BRAND NAME : SANDISK, NI ZA KIWANGO CHA JUU YAAN CLASS 10.

HUDUMA INAPATIKANA MASAA 24,WEWE KAMA UNAHITAJI KARIBU MUDA WOWOTE UTAKAOJISIKIA NIPIGIE SIMU,NITAKUELEKEZA OFFICE Delivery ni kwa makubaliano.

WAHI KWASABABU NI OFFER

KUKAGUA NI RUKSA NA BAADA YA KUKAGUA NA KUJIRIDHISHA BIDHAA
NI ORIGINAL,NDIPO UTALIPIA.

MAENEO NILIPO : DAR ES SALAAM/TEGETA

SIMU : 0742252553
 
Attachments

  • IMG_20200120_225125.jpg
    IMG_20200120_225125.jpg
    205.4 KB · Views: 6
Flash disc za gb 16 unazo mkuu
Habari wadau.
Karibuni wote wale mliokua NA UHITAJI WA ORIGINAL MEMORY CARD kwa bei ya chini/jumla kabisa BEI hizi sidhani kama kuna mahali utaweza zipata popote pale ONLY kwangu mimi kama Utaweza kufahamu mwenye bei kama hizi iwe ni wewe nitaomba kuzinunua..

32gb :18,000/-

16gb : 12,000/-

NOTE: Memory card ni ORIGINAL NA zote zipo SEALED ndani ya package yake,ukitaka kutest ili kuhakikisha memory ni ORIGINAL au LAH,RUKSA!

BRAND NAME : SANDISK, NI ZA KIWANGO CHA JUU YAAN CLASS 10.

HUDUMA INAPATIKANA MASAA 24,WEWE KAMA UNAHITAJI KARIBU MUDA WOWOTE UTAKAOJISIKIA NIPIGIE SIMU,NITAKUELEKEZA OFFICE Delivery ni kwa makubaliano.

WAHI KWASABABU NI OFFER

KUKAGUA NI RUKSA NA BAADA YA KUKAGUA NA KUJIRIDHISHA BIDHAA
NI ORIGINAL,NDIPO UTALIPIA.

MAENEO NILIPO : DAR ES SALAAM/TEGETA

SIMU : 0742252553

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom