Memeory card haifunguki baada ya ku-format, kila nikijaribu naambiwa "enter memory card password" na kila nikijaribu kuweka passwor; password inasema "incorrect password, try again". Je nifanyeje? Ilimibidi ku-format ili nifute application iliyokuwa inasumbua. Naomba kuwakilisha