Hivi, ni shahada ipi hapo Johns Hopkins University ili highly regarded?
Undergrad or grad?
I suspect it’s the former.
Na sidhani kama selection criteria na process ziko sawa.
Kwenye undergrad mchujo na ushindani ni mkali zaidi.
So Membe anaweza akawa alipata nafasi ya kusoma shahada yake ya uzamili hapo kwa sababu zingine, zaidi ya ‘academic standing’ yake.
Because, to be honest, he is just very average to me [and I’m being very charitable here].
Kama ulivyosema, generally speaking, ukisoma undergrad shule kubwa ina uzito zaidi ya graduate school.Graduate school ni rahisi zaidi kuingia.
Pia, selection process si sawa, hawa washua wengi walioenda vyuoni US kutoka serikalini Tanzania wamesomeshwa kwa visa za State Department's strategic interest.Wamepata waivers kibao based on politics.
Miaka mingi Mmarekani alijua huyu Benjamin Mkapa mfanyakazi wa serikali ya Tanzania akisoma Columbia University badala ya Beijing University, na baada ya miaka 30 akawa rais au Waziri huko kwao, Marekani itaweza kupata urahisi huko.Atakuwa alumni wetu tu.
Hawa washua waliosoma zamani US, wengi sana walisoma kama special projects za State Department.Yani hao wanakuwa wanafunzi fulani wanao represent mahusiano ya nchi na nchi. Kwa hiyo si selection tu, hata wanavyokuwa marked kunakuwa na political sensitivity msiangushe wanafunzi wa State Department. Ndiyo maana ukikaa na Membe ukaongea naye, halafu ukakaa na Mmarekani aliyesoma naye Johns Hopkins, unawez akumuona Membe lightweight.Of course kuna culture na ukweli kwamba Membe kapita kusoma tu pale, Mmarekani kazaliwa Marekani. Kuna unyonge na ujinga mwingine wa kutoka utotoni kuuondoa ukubwani chuoni ni kazi sana.
Membe ni lightweight sana.Kitu anachotegemea sasa hivi ku save face ni ukweli kwamba, ukiwa huna jibu kwa Watanzania, ukatengeneza some suspense ya uongo na kweli na drama za "goli la dakika ya 89", umemaliza kazi.
Wabongo watatunga wenyewe hadithi za kumalizia. Mara Membe Jasusi Mbobezi anajua alichopanga, mara katumwa na CCM, mara uzushi huu, mara uzushi ule.
Mradi wabongo uwape picha tu, story watatunga wenyewe kumalizia.
Kashawajulia hilo. Ndiyo maana anakuwa vague and elusive ku save face.
Lakini, jasusi mbobezi hawezi kuingiza hela kubwa kizembe na kuputwa airport kama alivyoputwa Membe, that is a rookies mistake ambayo hata mimi sifanyi.
Angenipigia simu mimi ningemuunganisha na wizzkids wa Wall St. kazi zao ku move money around internationally.
Membe ku fail kwenye hili kunaonesha hajawa tayari kuwa rais.Kwenye urais kuna ma espionage ya kimataifa mengi, kama kashindwa ku move money around tu, hawezi kuwa rais.