Habari wakuu.. Natengeneza Membership systems za kulipia kwenye website kwa bei nzuri kabisa. System hii inatumika sana kwa wale wanaotaka kutoa taaluma/mafunzo ya ujasiriamali au ya kitu chochote mtandaoni na kutoza ada kidogo kwa kila atakaeingia kwenye darasa lake la mtandao. Mtu yeyote atakaetaka kujifunza kitu kutoka kwenye mtandao wako lazima ajisajili kisha alipie kiasi ulichokiweka wewe aidha kwa mwezi au kwa mwaka na baada ya hapo ndio utauhakiki usajili wake na kumpokea kuwa mwanafunzi wako.
Gharma huanzia Tsh.500,000 kutokana na mahitaji yako kwenye website yako. Pia natengeneza website za ofisi, kampuni, shule, bookstore n.k.
Wasiliana nami kwa yeyote atakaehitaji,
0688072587.