Miss hiyo story umefupisha sana!nilishawai kukutana na mwanajf mmoja . tulienda hadi home kwake.ile sio nyumba wala mjumba sijui niiteje maana kila chumba kila bafu na gym yake .camera hadi chooni. elimu yake sijui nisemeje .ni super rich. ila huwezi amini humu jf ana post za kipuuzi sijawai ona.unaweza kumkuta hata kwenye post za team mond au kiba na yeye anatukana kule. ukienda mmu kajaa tele .ukienda chit chat ndo usiseme ni ngumu kabiasa kujua huyu jamaa ni mtu anaeheshimika vibaya mno ndani na nje ya nchi. maisha ya jf hayana uhalisia wowote .
miss chagga lara 1 njooni niwape chimbo muachane na shida za dunia

Huwa naona ila namshukuru M'Mungu sinaga tabia ya kutilia manani sifa za maandishi ya watu humu jf mi napenda nimuone mtu live anitetemeshe ndio hapo nampa heshima.Hahaha hata wewe umeona ee
Mkuu we ukiona tarehe yako inayo takiwa uchukue mshahara nenda kwa mwajiri kachukueAisee kumbe..uvumilivu wengine wamekosa
Ha ha huyo simtakinilishawai kukutana na mwanajf mmoja . tulienda hadi home kwake.ile sio nyumba wala mjumba sijui niiteje maana kila chumba kila bafu na gym yake .camera hadi chooni. elimu yake sijui nisemeje .ni super rich. ila huwezi amini humu jf ana post za kipuuzi sijawai ona.unaweza kumkuta hata kwenye post za team mond au kiba na yeye anatukana kule. ukienda mmu kajaa tele .ukienda chit chat ndo usiseme ni ngumu kabiasa kujua huyu jamaa ni mtu anaeheshimika vibaya mno ndani na nje ya nchi. maisha ya jf hayana uhalisia wowote .
miss chagga lara 1 njooni niwape chimbo muachane na shida za dunia
Uko kama mimi aisee kwa maana unaweza ukakuta kile anachotype nyuma ya keyboard ni tofauti na maisha halisiHuwa naona ila namshukuru M'Mungu sinaga tabia ya kutilia manani sifa za maandishi ya watu humu jf mi napenda nimuone mtu live anitetemeshe ndio hapo nampa heshima.
Ila kimitandaoni huwa nawasoma kimya kimya wale wanaojitapa halafu nawapotezea.
sawa mkuuMkuu we ukiona tarehe yako inayo takiwa uchukue mshahara nenda kwa mwajiri kachukue
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] sawa mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kabisa ndugu yangu
Asante mkuusawa mkuu
Hii reseach yako umeifanya kuanzia liniYaani humu kila mwanaJF anaponda kuajiriwa serikalini, kila mmoja kajiajiri, kila mmoja hana shobo na mshahara wa serikali, kila mmoja wazazi wake wana elimu ya chuo kikuu, kila mmoja kasoma mwenye elimu ya chini ni shahada ya kwanza (tena UDSM).
Kila mtu alishazinguana na askari wa usalama barabarani (traffic) akiwa anaendesha gari lake binafsi.
WanaJF Bwana!
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] broo nimechokoza tuu watu humu, hio s8 plus sijawah shika hata housinghahahaaaaa. kweli uko nje ya mada, maana humu wachangiaji hatuifahamu hiyo simu wala hatujawahi kuisikia
Uko kama mimi aisee kwa maana unaweza ukakuta kile anachotype nyuma ya keyboard ni tofauti na maisha halisi
Kwa hapo acha tu hiyo ibakie kuwa siri ya kuta na paa...Mkuu ina maana huna shaka na kilichotokea kwenye hiyo safari ya Miss Natafuta kwenda kwa jamaa.
Basi yawezekana nilikufananisha... nyagi ya mchana haijawahi kuiacha kumbukumbu yangu salama...Babu Nafikiri hunijui vizuri!!!! Nijishaue mbele ya lifti kweeeli mie???? Labda ulinifananisha babu wangu
Kumbe ulikuwa hujui enh?Weeee..humu kuna mambo kumbe.
Endelea hivyohivyo na imani yako...ahahaaa sidhani .yule mzee anajiheshimu sana .
Kumbe ni wa R chugaa..!! hongera.Moshi/Arusha