Member wa JF

d tarimo

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2015
Posts
919
Reaction score
517
Habari za mihangaiko wana jf nimeona nitoe duku duku langu hapo kwa Hawa member wa jf sijui ni utoto au laaah

Unakuta mtu aleta Uzi hapa mwisho anasema njoo inbox ukifika huko ni mapicha picha tu

Unakuta mtu kaleta Uzi wa Ajria uki mp analeta kuch kuch nyingi

Unakuta mtu anataka kugegedwa unamfata huko pm anakuwa haeleweki

Kuweni siriazi basi na wana
 
Unakuta mtu anajidai mchawi, ukimfuata pm ukimwambia amroge jiwe analeta kuch kuch.
 
Unakuta mtu anajidai mchawi, ukimfuata pm ukimwambia amroge jiwe analeta kuch kuch.
Kuna manzi aliteta uzi humu anataka kugegedwa kidume nika jitosa pm akanijibu eti tayari tushagegedana
 
unakuta mtu anatafuta mchumba ukienda pm kuch kuch ahaahaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…