Membe: Niliponea chupuchupu


Yaani hapo kwenye red, umenifanya nicheke kweli kweli!! Mzizi na nchi, nchi na mzizi!! du! Kazi ipo.
 
Sijui ni kitu gani kwa huyu baba sina ubaya nae wala sijatumwa honestly speaking anaonekana ni mnafiki sana hasa fake smile aliyonayo!!!!na misemo yake ndo kabsaaa....!!eti nasubiri kuoteshwa mmh???????:shut-mouth:

jk na tabasamu original mnamuona tatizo.huyu nae mwenye tabasamu fake naye tatizo..kha...!!
Tabasamu fake na mwanasiasa ni chanda na pete dadangu.
Na wala hapa hatutafuti mtu wa kusatisfy emotional zako au tuseme bwanaharusi.
Tunatafuta rais.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…