Membe: Musiba na Mchange anayewatuma kunichafua kwanini hamnipeleki mahakamani? Kama mnaweza kunirekodi mmeshindwa nini kutoa huo ushahidi

Mchange anatembelea bodaboda.......ndio anapiga hela huyo?!
Kwa kabila Mchange ni mzaramo , hawa hata ukiwapa bei gani wao ni kuongeza wake tu , hivi kijana kama Mchange ni wa kumiliki wake wanne yule ? Taarifa ambazo hazijathibitishwa zinanong'oneza kwamba kila siku awamu ya 5 inamlipa 15mil kwa huo ujinga anaoandika ! Sometimes nawaza hivi hela kama hizo kwanini wasikupe wewe unayeshupaza shingo humu jf kutetea mauaji na udikteta ? ama kweli dunia haina huruma .
 
Labda mimi ndio namlipa huyo Habibu......unajuaje?!
 
Membe arudishe tu mabilion ya Watanzania aliyopora kutoka libya

Jamhuri ikiamua kumshitaki atafilisika


Pia sio vizuri kuwatumia vijana kubweka mtandaoni kuisema serkali

Tuendelee kumuunga mkono mh Rais Kwa uchapa kazi
Mikocheni junction
 

Aliposema Akili za ' Kimbilikimo ' ina maana Sisi ' Mbilikimo ' hatuna thamani wala umuhimu hapa duniani? Je, angekuwa anagombea Urais katika Taifa lenye hao ' Mbilikimo ' wengi anaoonekana ' Kuwadharau ' kama pia si ' Kuwakashifu ' bado tu asingeweza kuwapigia Magoti na Kuomba Kura zao?

Aliyempa Yeye huo Urefu ndiyo huyo huyo kawapa wengine huo ' Umbilikimo ' anaoupuuza. Kuna Watu wengine hawajui tu ni kwanini hawafanikiwi katika kila nia zao mbalimbali za Kisiasa na ndiyo maana Mwenyezi Mungu ' anawabania ' kwa kila hali kutimiza adhma zao lakini bado hawajifunzi tu.

Kwa Kejeli hizi kwa ' Mbilikimo ' halafu bado unataka kabisa eti kuwa Rais wa Tanzania. Rais ni Dkt. John Pombe Joseph Magufuli pekee na anamaliza muhula wake wa Kwanza mwakani 2020 kisha anaendelea na mwingine wa 2020 hadi 2025 na akimaliza CCM itampata tu Mtu mwingine sahihi na wala si Benard Membe na wala asijisumbue kwa hilo. Na hata akihamia sijui Upinzani bado Benard Membe hawezi na hatokuja na haitotokea akaja kuwa Rais wa Tanzania hii ambayo Mimi GENTAMYCINE nipo na naishi.

Na kuna ' Mbilikimo ' wana Akili hata kumzidi Yeye.
 
Wale ni wapiga propaganda awapigi bure bila check kwa kujifichia kwenye uhanarakati uchwara.Yale magazeti ya kufungia kondomu hayana mnunuzi jiulize kwann siku siku yako sokoni amini nakuambia awamu hii mnufaiko kwao ikipita utoyaona sokoni tena maana yatakufa kwa kukosa ruzuku,hakuna awezae nunua takataka zile na kupeleka ujinga nyumbani hata watoto watakushangaa maana MTU aliyeelimika hawezi nunua magazeti yale.Madikteta wote duniani wamewekeza kwenye propaganda na kucheza na kamera ukitaka kutajirika wewe jitoe ufahamu kwa kusifu na kuabudu utazikimbia pesa.
 
Hata mbilikimo wote Tz wakisusa hawawezi badili mambo.Buhari,Museven,George Washington,Boutleafrik,Mugabe wamegombea wakiwa na miaka mingapi? Ukiwa unaishi ni kupambana hadi siku za mwisho ili utimize lengo lako.Neno mbirikimo ni tafsiri na si maanishi.Sawa na kumuita MTU mbwa!Akili mbilikimo ni maanishi ya MTU mwenye akili fupi kama hao propagandist.
 
Hizi pumba
 

Bado hujanishawishi na huu ' Upuuzi ' uliouwasilisha hapa tafadhali. Jaribu tena!
 
Sasa kama kuumwa ni kawaida kipi kilikuwa kina wapa Mchecheto?
 
Sasa na u-forward wake+ujasusi wake ikawaje mtu aliyetoka huko Chato wala hata huko nje haendagi akamshinda/akapeperusha bendera ya chama kwny urais?
History haionyeshi amewahi shinda kwa uwezo binafsi si kwenye siasa,kwenye uchumi au chochote nje ya kubebwa na nguvu na si hoja binafsi za ushawishi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…